Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

Mkuu usijisumbue sana. Sisi watz tunajua kubwabwaja tu ile ukweli vichwani tumejaza vitu vya hovyo sana. Sasa hivi watu wanawaza uchaguzi hayo mambo ya afcon yamekuja kama ajali tu.

Hiyo safari ya staz tff wanaangalia kupiga hela tu. Utashangaa hadi wafagiaji pale tff watakua kwenye msafara wa staz.
 
Watanzania watu wa hovyo sana,anayosema baba levo ndiyo tunaishi wote kuanzia wasomi wa PhD hadi darasa la saba.
Akisema muziki sasa ni amapiano,watanzania wote wajinga wajinga kuanzia wasomi wa PhD hadi darasa la 4B wanafuata.

Tuna feki sana maisha.Hatuwezi kuwa na chetu.Sisi ni watumwa na kiongozi wa falsafa za utumwa huo ni baba levo
 
Sio kila sehemu utamaduni kenge nyie. Kwahiyo duniani mataifa yote yana vazi la taifa?
Ila kuwa na Utamaduni na kuutumia ni jambo jema zaidi.

Nchi zinafanya hivyo kama sehemu kubwa ya kueneza uzalendo wao.
 
Bongo haina vazi la taifa...

Hata hivyo "mbunifu wa mavazi" wa TFF kwa timu za taifa sio mbunifu wa mavazi kama Ngowi...

Akili hizo za kuwa na vazi maalumu kwa ajili ya safari ya AFCON kamwe asingeweza kuwa nalo...
 
Bongo haina vazi la taifa...

Hata hivyo "mbunifu wa mavazi" wa TFF kwa timu za taifa sio mbunifu wa mavazi kama Ngowi...

Akili hizo za kuwa na vazi maalumu kwa ajili ya safari ya AFCON kamwe asingeweza kuwa nalo...
Wangepick moja.
Kutengeneza ile attention yani!!

Host anayefuata...
 
Aisee, haiko hivyo
Mi sioni shida na entrance yetu,
Habari za kueneza utamaduni waachie wengine, sisi twende kama wanamichezo tushinde tusepe,

Sijawahi ona wakorea au wajapani wameenda kwenye mashindano na yale magauni yao,

Au kuona waingereza wameenda na mavazi yao ya karne ya 7 huko,

Tucheze soka, utamaduni nenda Tamasha la sauti za busara,

habari za kuingiza kila kitu unapoona kuna fursa ndio mtaishia kuingiza siasa kwenye mpira, watu wa soka waachwe na soka,
Wacheza ngoma wacheze ngoma,

Mana hapo baadae utawalazimisha wavae magauni ya kimasai vipi wakivaa kimasai kisha wakawela na picha ya samia? Kila kitu kiwe mahali pake, msiforce ajenda zenu, kule ni soka sio takataka nyingi mara sijui utamaduni, mara siasa, mara nn
 
AFCON 2027.
Tuwe pamoja Mungu akipenda ujue kama kwenye soka kuna Utamaduni au lah!!
 
Wanachangisha Mtonyo Leo, Tukubali Uwezo Wa Viongozi Wetu Mdogo
 
Mtu anavaa kanzu anaona kwa vile na babu yake alivaa basi ushakuwa utamaduni tayari,akiamka salamu yake kiarabu kwani kizaramo ni haramu?!
 

Sahizi hamjasema TISS wameleta AFCON ili kuwatoa kwenye reli πŸ˜…
 
Mmh wale wascotish unawaonaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…