Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

Na hivyo next time kinapigiwa kwetu.

Mashabiki tutakaokwenda tutajitahidi kuwaonyesha watu kama na sisi tuna Identity japo sio official.
Sisi hatuna identity, ni watu wa matukio. Tutupie hata mikoti ya misso misondo haina shida.
 
Imagine wangeingia na vazi la Kimasai pale Cote D'Ivoire.
wangetisha sanaaa...
Mamtu yamefutantamaduni zao za asili na kufuata tamaduni za Mavazi ya waarabu na wazungu waliowaletea dini. Sasa inapotokea ulazima wa kuonyesha utamaduni Kila kabila linajifanya mmasai wakati awali walikuwa na mfumo wao wa uvaaji. Hata hivyo wamasai sio utambulisho wa Tanzania kwani Kenya wapo wengi na well organized kuliko bongo. Bora ungesema angalau vazi la wa Handzabe ambao ndio habari ya mjini Sasa hivi kwenye sekta ya utalii na kuitangaza nchi na mavazi Yao ya ngoziza nyani
 
Hiyo kamati ya uhamasishaji yenye kila aina ya watu ina maana hakuna mwenye akili hata mmoja aliyeliona hili? Wizara za utamaduni, sanaa na michezo na ile ya utalii hawakuona hii ndiyo fursa ya kutangaza nchi ?
 
Una hoja nzuri ila umeileta vibaya. Shida siyo Taifa Stars ila nchi kwa ujumla, zaidi ya Kiswahili hakuna kingine ambacho ni common kwa wote. Hivi unakumbuka ulipoishia mchakato wa kuandaa vazi la taifa?. Unakumbuka siku Diamond alivaa nguo za Kimasai kwenye utoaji zawadi za mziki mamtoni huko akataniwa sana kwenye mitandao mpaka kupewa jina la "Morani"?.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ile ilikuwa safi sana.
 
Hiyo kamati ya uhamasishaji yenye kila aina ya watu ina maana hakuna mwenye akili hata mmoja aliyeliona hili? Wizara za utamaduni, sanaa na michezo na ile ya utalii hawakuona hii ndiyo fursa ya kutangaza nchi ?
Walikuwa wanawaza Maokoto.
10B
 
Kindly share a picture mkuu
 
Yuko wapi waziri wa kuona hayo?Yule ambaye anasema katiba Kwa sasa haina maana hadi miaka 50 🤣 ,halafu Katibu ni Yule anayeshinda Instagram🤣
Tuwaone na kina Aziz
Baadae
 
Umesema ukweli mtupu, sema hawa Jamaa hapo watakua wamebeba Bango lenye maandishi "Asante Mama Samia" au t-shirt. Hii ni aibu na kituko cha mwaka
 
Umesema ukweli mtupu, sema hawa Jamaa hapo watakua wamebeba Bango lenye maandishi "Asante Mama Samia" au t-shirt. Hii ni aibu na kituko cha mwaka
Tumewasili kinyonge sana.

Angalia Namibia.
Wame capture attention ya watu balaa
 
Tupeni na picha za algeria, tunisia, morocco na egypt tuone na wao kama wamevaa kitamadunii
 
Na hivyo next time kinapigiwa kwetu.

Mashabiki tutakaokwenda tutajitahidi kuwaonyesha watu kama na sisi tuna Identity japo sio official.
Next tym sio kwetu, kwetu ni hadi 2027
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…