Uchaguzi 2020 Aidah Kenani (CHADEMA) wa Nkasi Kaskazini amuangusha bwana Ally Kessy (CCM)

Uchaguzi 2020 Aidah Kenani (CHADEMA) wa Nkasi Kaskazini amuangusha bwana Ally Kessy (CCM)

Mfalme ameagiza huyu dada aachiwe ushindi sababu ni mweupe mweupe kama apendavyo
 
Ni mkakati. Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Ally Keissy amefanywa collateral damage. Kuna mbunge mpya ataandaliwa kuleta tena 'hoja hoja ya Keissy' kisha mambo bambam. Tusubiri. Itakuwa dictatorship beyond 2025 strategy!
 
Hapo haki imetendeka hata idadi ya wapiga kura inaonekana siyo kubwa yenye uchakachuaji kama sehemu zingine ambapo CCM wameulawiti kuubaka uchaguzi bila aibu
 
Wanaona aibu kwa uhuni waliofanya.
CCM hawajui kubalance uhuni wao hujifanyia uhuni pasipo kutafakari ndiyo maana wamepora ubunge na Urais kienyeji kwa njia haramu za kishetani pasipo kujali kuwa Duniani kote wanajua
 
Na hiyo ndio sample ya uchaguzi wa ukweli ikiwa katika ngome yao ya Nkwasi wamepoteza wataweza vipi kulinda au kushinda kwenye ngome za wapinzani. haingii akilini mimi nachukulia hiyo ndio hali halisi kilichotokea kwa huyo mzee ni kama kusema CCM wameshidwa Dodoma lakini wameshinda Pemba.
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Huku chuga diwani mmoja Wa chadema ameshinda. Ila kwa mbinde sana hawakulala akiweka mabaunsa mawakala hakuna kura feki iliyopenya.
Kiukweli wananchi wameichagua chadema kote Nchini lakini CCM na vyombo vyake binafsi Polisiccm NECCCM Tumeccm wakurugenziccm wamepora majimbo Nchi kwa njia haramu za kishetani
 
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni maigizo vioja kuuhadaa Dunia
 
Mkiwa na kiongozi mkuu mnafiki na zao la shetani, waongozwa wote mtajuta. Sahizi kuna watu wanafurahia lakini waja wakati ambao wanaofurahia watajuta kuliko wanaoumia leo.

Nchi ipo katika laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kweli kabisa, manake watanza kupekuwa kila kikonyo walichoandika namba ya kadi ya kura ndipo watajua wale wa ndani ya boksi ambao hawakuwa nao kwenye kura! Hilo ndilo bao la mkono kwa watumishi wa umma na hivyo kupiga kura kwao! Kura haikuwa na usiri!! ni kama umekata kokonyo cha bahati nasibu!!!
 
Ukweli watu wengi hawajajitokeza kupiga kura alafu wanalalamika CCM kushinda jamani kura moja ina impact sana.
Jimbo la kahama mjini kishimba kashinda kwa kura elfu 35. Lkn magufuli kapata kura 167,000.
 
Namhurumia huyo dada kahela kake ka viposho kina Msigwa watakagombania kwa kupiga mizinga.

Naomba kutoka nnje ya mada kidogo. Hivi wewe mbali ya kukesha hapa JF, una kazi gani inayokuingizia kipato? Mtu upo JF 24/7, hata Melo mwenye JF hashindi na kukesha hapa kama wewe.
 

Joka na wafuasi wake wakapatwa na wasiwasi na wakatumia mbinu zao kumuondoa? Vipi mh JPM akimpa nafasi kwenye zile trufu zake 10? Joka litafanya nini? Rais JPM kuongezewa muda kama ni mpango wa Mungu hakuna wa kukwamisha wala kuuchelewesha. Tusubiri tuone panapo majaaliwa ya Mwenyezi Mungu.
 
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
Sana hata wale waliokuwa wana mashaka kuhusu wizi wa kura lakini hili liko bayana. Hata ndio unaenda kuiba nyumba ya mtu basi unaiba mpaka milango, mabati na matofali unaacha kiwanja kitupu! unaweza kwenda kushinda ngome za upinzani kama Arusha au Moshi kwa kura chache kidogo mtu anaweza kusema labda lakini double hapana jamani.

Majimbo yote kata zote nyinyi tu kana kwamba uchaguzi baina ya malaika na mashetani hata ingekuwa hivyo mashetani wangepata uwakilishi wao tu. nasikia mpaka pemba CCM. Katiba inabadilishwa yaliyokuwa yanasemwa yanatimia kuna mtu atatawala kama emergency kipindi chake tu miaka 20 halafu tutarudi 5 years.

Hii ni kweli maana wote wanaoingia bungeni wamewekwa kwa hisani ya chama kikuuu na ile thuluthi 3 iliyokuwa inatakiwa Zanzibar imepatikana hakuna wa kuzuia.
 
Mara chama baba lao inakata rufaa kwa wote wapinzania walioshinda baada ya miez kadhaa uchaguz unarudiwa viti vyote vinarudi kwa chama tawala... ningekuwa mie ningefanya hivyo..nawapa viti vichache kuwapooza ili mkose credibility ya kusema uchaguzi haukuwa wa haki. halafu tunakata rufaa, wabunge wakiapishwa huku kesi inaendelea, baada ya miez sita.. uamuzi unatenguliwa tunarudi kwenye uchaguz tunachukua vyote vilivyobaki.. najaribu kuwaza kwa sauti tu
 
Back
Top Bottom