NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Haswaa Mbowe hana uruma. Yupo after money zaidi.Kwahiyo atakuwa anachangia ile 500k kwa chama kila mwezi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaa Mbowe hana uruma. Yupo after money zaidi.Kwahiyo atakuwa anachangia ile 500k kwa chama kila mwezi?
Nimeshauri wao ndio waamuzi wa mwisho usipaniki.Acha ujinga wewe, acha na yeye akale pesa. Unataka kina mbowe tu ndio wafaidi
ndivyo walivyo, nilishawaeleza kuwa hawajui wanachokitaka!Mkishinda tatizo mkakosa tatizo.
Wanaihadaa DuniaHuo ni mpango mzee.
CCM hawajui kubalance uhuni wao hujifanyia uhuni pasipo kutafakari ndiyo maana wamepora ubunge na Urais kienyeji kwa njia haramu za kishetani pasipo kujali kuwa Duniani kote wanajuaWanaona aibu kwa uhuni waliofanya.
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetaniNa hiyo ndio sample ya uchaguzi wa ukweli ikiwa katika ngome yao ya Nkwasi wamepoteza wataweza vipi kulinda au kushinda kwenye ngome za wapinzani. haingii akilini mimi nachukulia hiyo ndio hali halisi kilichotokea kwa huyo mzee ni kama kusema CCM wameshidwa Dodoma lakini wameshinda Pemba.
Laana maana yake ni mpiga kura kunajisiwa kura yake na CCMUnajua maana ya laana lakini ndugu?
Kiukweli wananchi wameichagua chadema kote Nchini lakini CCM na vyombo vyake binafsi Polisiccm NECCCM Tumeccm wakurugenziccm wamepora majimbo Nchi kwa njia haramu za kishetaniHuku chuga diwani mmoja Wa chadema ameshinda. Ila kwa mbinde sana hawakulala akiweka mabaunsa mawakala hakuna kura feki iliyopenya.
Uchaguzi unarudiwa soon maana hakuna uchaguzi umefanyika TanzaniaKwahiyo atakuwa anachangia ile 500k kwa chama kila mwezi?
Hiyo ni kweli kabisa, manake watanza kupekuwa kila kikonyo walichoandika namba ya kadi ya kura ndipo watajua wale wa ndani ya boksi ambao hawakuwa nao kwenye kura! Hilo ndilo bao la mkono kwa watumishi wa umma na hivyo kupiga kura kwao! Kura haikuwa na usiri!! ni kama umekata kokonyo cha bahati nasibu!!!Mkiwa na kiongozi mkuu mnafiki na zao la shetani, waongozwa wote mtajuta. Sahizi kuna watu wanafurahia lakini waja wakati ambao wanaofurahia watajuta kuliko wanaoumia leo.
Nchi ipo katika laana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jimbo la kahama mjini kishimba kashinda kwa kura elfu 35. Lkn magufuli kapata kura 167,000.Ukweli watu wengi hawajajitokeza kupiga kura alafu wanalalamika CCM kushinda jamani kura moja ina impact sana.
Namhurumia huyo dada kahela kake ka viposho kina Msigwa watakagombania kwa kupiga mizinga.
Sana hata wale waliokuwa wana mashaka kuhusu wizi wa kura lakini hili liko bayana. Hata ndio unaenda kuiba nyumba ya mtu basi unaiba mpaka milango, mabati na matofali unaacha kiwanja kitupu! unaweza kwenda kushinda ngome za upinzani kama Arusha au Moshi kwa kura chache kidogo mtu anaweza kusema labda lakini double hapana jamani.Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani