Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

CCM fwatilieni ya msumbiji 2025 sio mbali.
nadhani hawa wahubiri wa chuki na wachochezi wa migawanyiko kama akina Freeman Aikaeli MBOWE ni muhimu zaidi wakafuatilia huko na kujifunza umuhimu wa umoja πŸ’
 
CHADEMA kwa sasa imepoteza Dira na muelekeo na kubakia kujiendea tu kama kipofu gizani
Lini chadema imepoteza dira, Yani chadema imepoteza dira Kwa kuwa wewe mpumbavu umesema, Yani chadema imepoteza mvuto kisa wewe muandika ujinga hapa jf umesema, nenda kamuulize mama yenu kule lumumba kuwa anaijuaje chadema kama hajajamba na kukimbia au kamuulize yule mkwilima wenu mwenye kifua kipana anayelele na kumla mtoto wa mamayenu aka shemeji yenu.
 
Hakuna chama zaidi ya CCM, Chadema na ACT hata wewe unajua ndani ya roho yako, ila wale watu wengine wanapotumika kwa maslahi yako ndio unaibuka kuita vyama, anyway
 
Gentleman,
chadema imepoteza dira na uelekeo jana kwenye press conference 🀣

asie ulevi mwingi mno umetangazwa jana kudhihirisha kupoteza dira kwa chadema 🀣
 
Kamuulize mamayenu kuwa kwanini chadema walienguliwa na Kwa taarifa yenu nyie mazwazwa mkiendelea na hizo akili ccm yenu itatumia polis kila uchaguzi tofauti na hapo mjiandae kukimbilia Burundi
 
Gentleman,
chadema imepoteza dira na uelekeo jana kwenye press conference 🀣

asie ulevi mwingi mno umetangazwa jana kudhihirisha kupoteza dira kwa chadema 🀣
Inaonekana huna hata taarifa Yani chadema ipoteze mwelekeo wakati Jana Livestream ukilingamiaha uapisho wa mamayenu na mkutano wa chadema ni mbingu na ardhi.
 
Ccm imejaa wajinga ndio maana hamna mvuto Tena ukiondoa polis na tume fake mtapiga ukunga.
kwahiyo chadema mmejaa waerevu tupu 🀣

na mmebaki na mihemko na makasiriko tu dhidi ya uhuru na haki za vyama vingine vya upinzani, right?🀣
 
mawenge ni kitu kibaya sana aise, yaani chairman mbowe kafura huyo πŸ’
Nyie wafuas wa engua engua kichwani hamnazo ndio maana mnadanganywa ccm imeshinda asilimia tisini na nyie Kwa upumbavu wenu mnashangilia.
 
kwahiyo chadema mmejaa waerevu tupu 🀣

na mmebaki na mihemko na makasiriko tu dhidi ya uhuru na haki za vyama vingine vya upinzani, right?🀣
Ccm na wafuas wake ni wapumbavu ndio maana mnaaminishwa mmeshindwa asilimia tisini.
 
Walipokuja kutapika upuuzi wao wakiishutumu CHADEMA inataka kuharibu Amani uliwaambia wanaingilia Uhuru na mikakati ya CHADEMA au na wewe ni kundi na Ninga?
 
Inaonekana huna hata taarifa Yani chadema ipoteze mwelekeo wakati Jana Livestream ukilingamiaha uapisho wa mamayenu na mkutano wa chadema ni mbingu na ardhi.
Gentleman,
Taarifa gani tena unataka, na mambo yalikua yakisemwa hadharani, nchi na dunia nzima ikisikia na ikishuhudia chuki na uhasama dhidi ya uhuru na haki za vyama vya siasa vya upinzani ikihubiriwa na chairman Freeman Aikaeli Mbowe?🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…