Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Mbona umepanik ivo au we ndo bakhili?
 
unasiri nyingi sana mkuu et?
Mkuu,unajua kuna aina za wanawake,hata issue ndogo tu lazima aitoe nje,hata mkikorofishana kidogo tu lazima akahadithie huko nje,

Tatizo huko nje kila mtu atampa ushauri atakavyo waza,na ndipo issue ndogo hugeuka kua kubwa coz kuna maadui husubiri watu watifuane japo kidogo tu ili wapate pakuanzia.
 
Dada zangu wapendwa, Punguzeni ujuaji, ukiwa mjuaji sana utaishia tu kuwa motivesheni spika lakini wale wenye nia ya kukupa nusrat wataishia kupita njia tu. Mwisho utahisi umelogwa kumbe mchawi ni ujuaji na kibri chako.
 
Yeyote anayetaka ngono kabla ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…