Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Muongo
Mshirikina
Mchafu (hasa anayenuka kwapa na papuchi)
Mdomo chuchungi (kidomodomo au gubu)
Mengine hanavumilika
 
Mkuu hiyo, avatar ni ww?
 
Hiii ni zaidi ya balaaa mkuu...!! Mwanamke ambae hajiamini shida sanaa hata umsifiee vip bado atakuwa na mawengee balaaaa yani hakuna kiti kabisaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…