Aina mbalimbali za mbwa. Jamii ipi unaikubali sana kati ya hizi?

Napenda Mbwa Ila Mama yangu hapendi Mbwa tulipokua wadogo tulikua tunachukua Mbwa tunafuga Mama akirudi Safari akiwakuta mkirudi Shule hamuwakuti mnakuta Mama kawashughulikia wote anaua mmoja mmoja mpaka anawamaliza wote na kauli yake ilikua ni moja tu "hakuna kufunga Mbwa nyumbani kwangu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…