Shida ni nini mkuu?Mi kidude chao saizi kimebaki makumbusho tu
Mi kidude chao saizi kimebaki makumbusho tu
Mzee wa torrents..Unlimited ni mkombozi kweli kweli. Nawaza hii ni device moja, ingekuwa kutumia bundle ningekuwa nimetumia kaisi gani?
View attachment 3171035
Torrents nashushaga mizigo ya softwares na series chache chache mkuu. Ningekuwa abdo mpenzi wa movies kama zamani, nahisi hapo ingesoma hata gb 500Mzee wa torrents..
NenoWawezeshe unlimited na kwenye hizi simcard zetu, sio lazima hadi tununue router!.
Kuwe na unlimited za siku, wiki na hadi mwezi.
Achana na hizo promoShida ni nini mkuu?
Tumia smartphone yako kupata jibuManzanita mwenye uwezo huo anaingiza kiasi gani Kwa siku?
Nauliza kwa sababu kuna jamaa yangu anaishi hapo tegeta anayo toka july anaisifia. ni mzee wa kustream na kukaa kwenye pocket option muda woteAchana na hizo promo
Kifurushi cha chini ni cha wiki ambacho kwa elfu 5 unapata GB 4.Kwa hizo za internet pekee 10,000 unapewa GB ngapi mkuu
Mkuu sasa si bado ghali, hapo 75 ungeondoka na unlimited kabisa.Kifurushi cha chini ni cha wiki ambacho kwa elfu 5 unapata GB 4.
Ila vifurushi vizuri ni vile vya mwezi ambavyo bei yake ni kama ifuatavyo:
15K = 18 GB
30K = 38 GB
50K = 68 GB
75K = 110 GB
100K = 210 GB
Mi nilichukua cha laki moja na mambo yako poa tu maana sina matumizi makubwa na device ninazotumia ni PC na simu tu...
Yeah, ila nafikiri hiyo unlimited ya 75k ni ya airtel ambao kimsingi wanazingua sana speed. Pia kuna kipindi nilikuwa natumia huduma za voda 5G lakini speed ilikuwa ni takataka na vifurushi vilikuwa ghali sana. So nimeamua nijichimbie huku wakati nikimsubiri Elon Musk...Mkuu sasa si bado ghali, hapo 75 ungeondoka na unlimited kabisa.
hapo kweli aiseeYeah, ila nafikiri hiyo unlimited ya 75k ni ya airtel ambao kimsingi wanazingua sana speed. Pia kuna kipindi nilikuwa natumia huduma za voda 5G lakini speed ilikuwa ni takataka na vifurushi vilikuwa ghali sana. So nimeamua nijichimbie huku wakati nikimsubiri Elon Musk...
Wajichange wanunue kwa pamoja mfano wa wapangaji wanavyotumia luku au maji.KUna vitu muwe mnashirikisha akili.
Hivi ni Watanzania wangapi wanaweza kuafford hizo huduma?
Buku buku ndio uwezo wa Watanzania 99.9%
Hao watanzania sasa, wanavyozinunua kwa pupa hizo router, ππ hiwezi kuamini maneno yako...Ndio uwezo wa Mtanzania maisha yake inayafutwa ya leo ikikosekana haungi bando la intaneti
Unachosema ni kweli. Majuzi hapa nilitembelea duka la mtandao fulani kupata huduma, kwa dakika 15 nilizokaa pale watu watatu walikuja kununua router na wawili walikuja kuulizia beo na kuahidi kurudi tena. Zama za vifirushi vya kupima zinaelekea mwishoni...Hao watanzania sasa, wanavyozinunua kwa pupa hizo router, ππ hiwezi kuamini maneno yako...
View attachment 3170731
N:B: Ni muhimu kupima Network kwenye eneo lako kabla ya maamuzi
Haya mambo ya kununua vifurushi vya buku buku unaweza kujikuta unaunga mara 3 na zaidi kwa siku, haba na haba hujaza kibaba mwisho wa mwezi umechoma 80k hadi laki kwenye bando
Suluhisho ni huduma ya unlimited internet, Hulipii Gb unalipia speed, Kuna huduma za waya kama Zuku fibre na Ttcl fibre unavutiwa waya nyumbani lakini tatizo lake huwezi kutembea nayo, ipo maeneo machache ya mjini na umeme ukikatika kifaa kinazima.
Makampuni ya Simu wakaleta unlimited internet unayoweza kuhama nayo lakini changamoto ilikuwa gharama , Mfano Vodacom na Tigo kifaa (router) cha bei ya chini ni 250,000, Kifurushi cha chini kabisa ni 120,000 kila mwezi, ni wachache sana wanaweza kumudu.
Airtel wameona fursa ya kulikamata soko kwa kudeal na gharama, kwa shilingi 110,000 unapewa router iliyoungwa bando la mwezi mzima na miezi ijayo unaweza kuunga kifurushi cha elf 70, hapa at least pana unafuu.
mitandano mingine wapunguze bei za vifurushi vya unlimited lasivyo watakuja kustuka Airtel kajitanua kawa Monopoly kameza soko