Airtel inazidi kutanua soko la Unlimited internet, Vodacom na Tigo wakiendelea kushupaza shingo watastuka soko lishamezwa

Airtel inazidi kutanua soko la Unlimited internet, Vodacom na Tigo wakiendelea kushupaza shingo watastuka soko lishamezwa

Niko nje ya mji,kipindi cha nyuma voda waliniibia sana na internet yao supa kasi package ya elfu 50 siku 30,wenyewe wanadai ni unlimited ila wanakupa gb 27 tu zikiisha gb speed inapungua,mimi hizo gb 27 zilikua zinaisha ndani ya siku 2,natumia airtel package ya elfu 70 unlimited siku 30 now,so far airtel iko poa,angalizo usikurupuke kununua kifurushi na kupewa router bure,iko kifurushi kikiisha utalia
 
Kwa hizo za internet pekee 10,000 unapewa GB ngapi mkuu
Kifurushi cha chini ni cha wiki ambacho kwa elfu 5 unapata GB 4.

Ila vifurushi vizuri ni vile vya mwezi ambavyo bei yake ni kama ifuatavyo:
15K = 18 GB
30K = 38 GB
50K = 68 GB
75K = 110 GB
100K = 210 GB

Mi nilichukua cha laki moja na mambo yako poa tu maana sina matumizi makubwa na device ninazotumia ni PC na simu tu...
 
Mkuu sasa si bado ghali, hapo 75 ungeondoka na unlimited kabisa.
 
Mkuu sasa si bado ghali, hapo 75 ungeondoka na unlimited kabisa.
Yeah, ila nafikiri hiyo unlimited ya 75k ni ya airtel ambao kimsingi wanazingua sana speed. Pia kuna kipindi nilikuwa natumia huduma za voda 5G lakini speed ilikuwa ni takataka na vifurushi vilikuwa ghali sana. So nimeamua nijichimbie huku wakati nikimsubiri Elon Musk...
 
hapo kweli aisee
 
Tigo tatizo lao wamekuja na jina gani sijui, jina la ajabu hata sijui ni nn, kuwa na jina zuri linavutia wateja, sijui wameamua kuita kabisa Nyash wameona Tigo sio jina tena
 
Hao watanzania sasa, wanavyozinunua kwa pupa hizo router, 😀😀 hiwezi kuamini maneno yako...
Unachosema ni kweli. Majuzi hapa nilitembelea duka la mtandao fulani kupata huduma, kwa dakika 15 nilizokaa pale watu watatu walikuja kununua router na wawili walikuja kuulizia beo na kuahidi kurudi tena. Zama za vifirushi vya kupima zinaelekea mwishoni...
 
View attachment 3170731

N:B: Ni muhimu kupima Network kwenye eneo lako kabla ya maamuzi

Haya mambo ya kununua vifurushi vya buku buku unaweza kujikuta unaunga mara 3 na zaidi kwa siku, haba na haba hujaza kibaba mwisho wa mwezi umechoma 80k hadi laki kwenye bando

Suluhisho ni huduma ya unlimited internet, Hulipii Gb unalipia speed, Kuna huduma za waya kama Zuku fibre na Ttcl fibre unavutiwa waya nyumbani lakini tatizo lake huwezi kutembea nayo, ipo maeneo machache ya mjini na umeme ukikatika kifaa kinazima.

Makampuni ya Simu wakaleta unlimited internet unayoweza kuhama nayo lakini changamoto ilikuwa gharama , Mfano Vodacom na Tigo kifaa (router) cha bei ya chini ni 250,000, Kifurushi cha chini kabisa ni 120,000 kila mwezi, ni wachache sana wanaweza kumudu.

Airtel wameona fursa ya kulikamata soko kwa kudeal na gharama, kwa shilingi 110,000 unapewa router iliyoungwa bando la mwezi mzima na miezi ijayo unaweza kuunga kifurushi cha elf 70, hapa at least pana unafuu.

mitandano mingine wapunguze bei za vifurushi vya unlimited lasivyo watakuja kustuka Airtel kajitanua kawa Monopoly kameza soko

Halotel Fiber Home Wifi is the best internet, router bure na vifurushi vyao inaanzia 70k kwa mwezi na speed 20mb/s hicho ndio kifurushi cha chini na 95k kwa speed ya 40mb/s kwa mwezi na hicho kinatosha sana unlimited, Halotel wamekamata Dar sio mchezo
 
Back
Top Bottom