Aisee, wanawake mtatunyoosha, hii clip imenifikirisha sana, naenda kupima DNA watoto wangu wote

Aiseee.... Shukran sana chief

Sasa kwa nini majibu iwe ni mali ya wakili tena wakati kuanzia sampuli hadi malipo nafanya mimi? Na umesema wakili ndo anaewasomea wahusika majibu, je mimi sitaruhusiwa hata kuyaona ili kuhakikisha uhalali wake?
 
Jiandae kufa kwa presha
 
Aiseee.... Shukran sana chief

Sasa kwa nini majibu iwe ni mali ya wakili tena wakati kuanzia sampuli hadi malipo nafanya mimi? Na umesema wakili ndo anaewasomea wahusika majibu, je mimi siruhusiwa hata kuyaona ili kuhakikisha uhalali wake?
Kuyaona unaweza kuyaona ila kuondoka nayo hapana sababu wewe sio mhifadhi wa hayo majibu. Na majibu hayo hayo yakikutwa mtaani huko ni kosa kabisa. Hili nadhani ni kwa ajili ya kuwalinda watoto sana sana.

Mengine ni mambo ya kisera, sitakuwa na mengi ya kuyazungumzia Mkuu.
 
Kama wanafanana na wewe achana na hayo mambo ila kama hawafanani na wewe umeumia
 
Asante sana chief, hii kitu ina theories nyingi sana mtaani, watu wengi hawajui ukweli sababu elimu hii haitolewi
 
Hivi haya mawazo huwa mnayatoa wapi? Unajua sheria ya mtoto inasemaje? Mtoto ana haki ya kumjua biological parents wake! Tatizo mnapenda kuzungumzia vitu hamna experience navyo. Mimi Watoto wamepimwa na kuna Niliyepima jibu akawa si wangu.

Kwanza mtu anayepima ni tofauti na mtoa majibu.
 
Tulee tu wala sio inshu sana,chukulia kama umemuadapt tu

Mtoto ni mtoto tu,mzigo aubadiliki ndo ulele
Kwangu hapana aisee...

Priority inaanza kwa wa kwangu, hao wengine watapata kama wa kwangu damu damu akiridhika, na sio ubinafsi huo bali ndivyo mambo yalivyo. Yaan bao langu liteseke halafu nilee mtoto wa alionilia mke wangu? Huwezi lea mtoto wako wa damu sawa sawa na unaempa msaada.
 
Hii mada ina theories nyingi sana mitaani, ukizisikia utashangaa. Ni bora hapa wenye ufahamu muendelee kutujulisha
 
Hii mada ina theories nyingi sana mitaani, ukizisikia utashangaa. Ni bora hapa wenye ufahamu muendelee kutujulisha
Iamini DNA test! Huwa inatoa ukweli ila pengine mtoa taarifa. Mfano Hakimu akitaka DNA lazima majibu yaende kwake na yeye ndiye anayasoma mbele yenu! Unajua mahakimu huwa hawawaoneshi ile form toka kwa Mkemia mkuu. Lakini nakuhakikishia hata kuhonga kwa Mkemia si rahisi. Ila tupo mbioni kuleta Vifaa Tiba vya kupima DNA majumbani hapa Dar. Kwa mtaji huo unachukua sample na kujipima!
 
Unachokitafuta utakipata

Nimemaliza
 
hahahaha !
 
Kwa hali hiyo nianzishe kautaratibu. 😁
Before sex, namfungia ndani kama two weeks then ndio nasex naye. After sex namfungia tena ndani hadi nione kama kashapata tumba! 😂 Hapo ndio ntajua ni ya kwangu!

(Jokes) 🤣
 
Ngoja nisave hii comment!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…