Ajabu na kweli: Padri wa kanisa katoliki kaoa mke na anavuta sigara kali!

Igizo
Kama ni halisia mtaje jina na alipo sisi wanasheria tutakulinda
Naogopa kumwagia kitumbua chake mchanga; ana watoto wanamtegemea akifutwa kazi watoto watapata shida.
 


Uko nyuma sana na dunia ya leo
 
Na wenyewe wamo humu wanawasoma tuu jinsi mnavyo comment , ila inshot hakuna mfupa mgumu duniani means that , maisha ya useja hakuna anayeweza ishi , hakuna mwanaume duniani aliyekamilika anayeweza ishi bila kukutans kimwili na mwanamke HAKUNA.
s
so ni haki ya uanaume kuto.mba , na ku.nywa bia / kilevi , ILA NI KWA KIASI HATA WAO WANAFUNDISHWA KUFANYA KILA KITU KWA KIASI...........
 
Kiongozi wa dini ni muwakilishi wa dini yake anapaswa kufanya mazuri..
Lakini pia sisi tunapaswa kujua wale ni binadamu wanaweza kukosea, so kukosea kwao hakuifanyi ile dini iwe ya kichizi, ni muhimu kujua sheria ya dini husika, akikosea kiongozi ujue kakosea yeye na sio dini
 
Enzi zetu mapadri ilikuwa ni wazungu wengi toka nchi za italia, hispania, ubelgiji, ureno, canada na ujerumani. Waafrika walikuwa wachache, parokia nzima ni mmoja tu. Padri wa kizungu akifanya misa kigangoni waumini hujaa kanisani, wa kiafrika hawajai. Padri wa kizungu huja na zawadi kama pipi, maziwa ya ngamia, juisi na biskuti, wa kiafrika haji na zawadi. Siku hizi mapadri wengi ni waafrika, hawapendwi kama wazungu. Mapadri wa kiafrika ni wagumu kutoa zawadi. Hawana sauti za huruma
 
Bora hata huyo padre kaoa mke kuliko kudanga kwa siri...bora na huyo anayevuta sigara kali kuliko wanavuta mpaka bangi
 
wanasema binaadamu hawezi kuacha tabia zake za asili
 
Pumba tupu, mapadr lazma wakae kwenye majengo ya dayosisi si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…