Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
- Thread starter
-
- #21
Wapi nimesema hivyo?Umesema wewe Huwa unaamini statement ya Police, means pale Police wanaposema Jambo wewe ndiyo unaamini...!
Wewe ndio husomi na kufikiria sawasawa.Nikakupa mfano wa matukio ambayo Police hutoa Statements, nikakuuliza unaamini hata Hilo....!?
Otherwise edit comment Yako, coz unataka sisi tuamini uko vizuri kichwani, then maneno Yako mwenyewe yanatuambia hufikilii sawasawa.
Cha kushangaza zaidi kila Mtu JF ni Tajiri...🤭" mipango ya mungu" sentensi inayofanya watz kuwa maskin wakutupwa
😂😂😂Sema we jamaa ni kigeugeu kinoma huyo devil hapa ni yupi?View attachment 3303107
athibitishe women are devils.Sema we jamaa ni kigeugeu kinoma huyo devil hapa ni yupi?View attachment 3303107
Vipi miundombinu mibovu ya usafiri, si sababu ya uwepo wa ajali Afrika?Waafrika ndio wanaongoza kwa kufa kwa ajali kama kuku kila kukicha.
Yeah na huo ni uandishi wake mwenyewe sio editingathibitishe women are devils.
Sometimes we have funny bro.Sema we jamaa ni kigeugeu kinoma huyo devil hapa ni yupi?View attachment 3303107
Thibitsha huyo devil kwa women wacha janja janja.Sometimes we have funny bro.
Japokuwa siamini kwenye uwepo wa devils, Lakini kuna wanao amini kwa hivyo kuwa encourage unatumia imani zao hizohizo kama mfano.
Hii ilikuwa kwenye ule uzi w Fanton Mahal.
Nili mu alert jamaa akae awake.
sawa,Sometimes we have funny bro.
Japokuwa siamini kwenye uwepo wa devils, Lakini kuna wanao amini kwa hivyo kuwa encourage unatumia imani zao hizohizo kama mfano.
Hii ilikuwa kwenye ule uzi wa Fanton Mahal.
Nili mu alert jamaa akae awake.
swali zuriAre you here to advertise your ignorance?
Ulishawahi kusikia ajali imetokea polisi wakasema chanzo cha ajali ni Shetani, uchawi au ushirikina?
Hakuna devils in reality.Thibitsha huyo devil kwa women wacha janja janja.
Wa kwenye imani za kidini.sawa,
sasa hapo ulikua unazungumzia devil yupi? fafanua kidogo
Atuthibitishie bana sisi sio wajinga😂sawa,
sasa hapo ulikua unazungumzia devil yupi? fafanua kidogo
kutokana na kauli yako unasema yupo sindio? tho at the same time hapa unasema hayupo huoni kama wewe ni kigeugeu😎Wa kwenye imani za kidini.
Tabia za kikike kike hizi, ndiyomaana Wahenga husema "ukiwa mwongo usiwe msahaulifu" sasa hili ndumilakuwili linang'ata huku linapuliza kama panya buku, sidhani kama dishi lake halijacheza.Sema we jamaa ni kigeugeu kinoma huyo devil hapa ni yupi?View attachment 3303107
kutokana na kauli yako unasema yupo sindio? tho hapa unasema hayupo huoni kama wewe ni kigeugeuWa kwenye imani za kidini.