jamaa anacheza na akili za watu.Tabia za kikike kike hizi, ndiyomaana Wahenga husema "ukiwa mwongo usiwe msahaulifu" sasa hili ndumilakuwili linang'ata huku linapuliza kama panya buku sidhani kama dishi lake halijacheza.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Yupo kwenye myths not in reality.kutokana na kauli yako unasema yupo sindio? tho hapa unasema hayupo huoni kama wewe ni kigeugeu
SindioAtuthibitishie bana sisi sio wajinga😂
Panyabuku ni baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.Tabia za kikike kike hizi, ndiyomaana Wahenga husema "ukiwa mwongo usiwe msahaulifu" sasa hili ndumilakuwili linang'ata huku linapuliza kama panya buku sidhani kama dishi lake halijacheza.
Halfwit bastard.Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nimekwambia hizo ni imani za watu.Sindio
Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu tusaidie!
Wakati Dereva anakanyaga mafuta kisawasawa, speed kibati, mwendo wa ngiri mkia juu, kasi ya kuovateki ndege 🛫. Watu kimyaaaa!! wala hawasemi chochote. Wanatulia kama mirungi inayowahishwa kiwandani au kama wagonjwa mahututi wanaokimbizwa ICU.
Halafu ajali ikishatokea ndio wanaanza sasa mara Mungu! Mara kafara! mara ushirikina! mara Shetani! Mara mwisho wa mwaka ajali zimekuwa nyingi!
Wanasahau kabisa kuhusu mwendokasi, speed kibati mwendo wa ngiri mkia juu, uzembe wa dereva, ulevi, ubovu wa barabara na kutozingatia sheria za barabarani.
Waafrika hasa watanzania wana kasumba ya kuamini na kuhusisha ajali hasa za barabarani na dhana za Mungu, Shetani, kafara au uchawi.
Utasikia wakisema kauli kama, "Tumemkosea nini Mungu hadi ajali zinakuwa nyingi?" Kana kwamba huyo Mungu ndio analeta ajali.
Utasikia tena, "Tuzidishe maombi na kusali sana kwani ajali zimeongezeka sana". Kana kwamba bila maombi na sala kwa huyo Mungu, ajali ndio zinaongezeka.
Utasikia, "Lile eneo kuna uchawi na ushirikina sana ndio maana ajali nyingi hutokea sana pale"
Utasikia tena, "Kafara zimekuwa nyingi sana mwaka huu ndio maana ajali zimekuwa nyingi sana"
Utasikia, " Mwisho wa mwaka huu, shetani anataka roho za watu ndio maana ajali zinatokea sana"
Misemo yote hii ni ya kijinga, iliyojaa ujinga, inayoaminika na watu wajinga.
Pia misemo yote hii ina logical fallacies. Post hoc ergo propter hoc na non-sequitur .
Hakuna Mungu anayehusika na ajali.
Hakuna Shetani anayehusika na ajali.
Hakuna uchawi au ushirikina kwenye ajali.
Hakuna ajali inayotokea kwa sababu ya utoaji kafara.
Ajali zote husababishwa kwa uzembe na ujinga wa kibinadamu unaotokana na wanadamu.
Learn or perish.
Think or Sink.
Understand or buzz off.
I'm out.
Nimekwambia hizo ni imani za watu.
Na uthibitisho wa kiimani upo kupitia vitabu vyao vya kidini.
Sasa usicho elewa ni kipi?
Ogopa sana Mtu anayepinga hadharani kuwa "hakuna uchawi", nyuma ya pazia unawezakuta huyo ndiye Mchawi Mwandamizi mwenye vyeo vya juu sana kwenye ulimwengu wa giza.kutokana na kauli yako unasema yupo sindio? tho at the same time hapa unasema hayupo huoni kama wewe ni kigeugeu😎
Ni jambo la kushangaza sanaOgopa sana Mtu anayepinga hadharani kuwa "hakuna uchawi", nyuma ya pazia unawezakuta huyo ndiye Mchawi Mwandamizi mwenye vyeo vya juu sana kwenye ulimwengu wao wa giza.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Tatizo lako umesha kariri kwamba kama huamini kitu fulani basi hupaswi hata kukitumia kwa wengine.
I'm outTatizo lako umesha kariri kwamba kama huamini kitu fulani basi hupaswi hata kukitumia kwa wengine.
Mimi kutoamini devils, Haimaanishi kwamba wengine hawaamini.
Kutumia devils kumwelezea mtu anaye amini devils kuna shida gani hapo?
Vumilia tu mwana wane, najua 💉 imepenya kwenye mifupa lakini ndiyo tiba yenyewe hiyo.Panyabuku ni baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.
Don't come to vomit your nonsense here.
Halfwit bastard.
Labda tajiri wa pumbuz na mbususuCha kushangaza zaidi kila Mtu JF ni Tajiri...🤭
Ubinadamu ni kazi The humanity is work
Tangu lini maji na mafuta yalichangamana, kwamba nuru na giza viambatane pamoja?Tatizo lako umesha kariri kwamba kama huamini kitu fulani basi hupaswi hata kukitumia kwa wengine.
Mimi kutoamini devils, Haimaanishi kwamba wengine hawaamini.
Kutumia devils kumwelezea mtu anaye amini devils kuna shida gani hapo?
Ustoke tulia upigwe siasa.I'm out
RISASI HUWA INAKATA KONAKwa hiyo Police wanaposema "Risasi ilipigwa juu ili kuwarisha Watu, bahati mbaya ikawajeruhi watu 3 na kupelekea Vifo vyao..."
Kwa hiyo Kwa Akili Yako Utawaamini/Unawaamini Police...!?
Napata shida na uwezo wako wa kufikiri.
Siko tayari kusikiliza porojoUstoke tulia upigwe siasa.
Kwa hiyo ukiwa Atheist ndio hupaswi kutumia concept zozote zile za Theists?Tangu lini maji na mafuta yalichangamana, kwamba nuru na giza viambatane pamoja?
Si huwa unajisifu kuwa we ni Superior Atheist, imekuwaje tena kutumia mifano ya Watu unaowapinga kiimani?
You have failed to address the thread, you introduce your irrelevant topic to distract the thread.Ninyi ndiyo mnaochelewesha bangi zisipitishwe kisheria huku Afrika ilihali nchi zingine ni halali na dawa nzuri tu kiafya.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Don't come to advertise your ignorance here.Vumilia tu mwana wane, najua 💉 imepenya kwenye mifupa lakini ndiyo tiba yenyewe hiyo.
"Ujuaji mwingi huondoa maarifa".
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.