Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

Are you here to advertise your ignorance?

Ulishawahi kusikia ajali imetokea polisi wakasema chanzo cha ajali ni Shetani, uchawi au ushirikina?
Upo sawa ajali nyingi ni uzembe lakini ujue barabara/njia zina maluweluwe mengi sana.madereva wanajua!

Wewe unaitumia barabara kusafiria,ila wengine wanaitumia kutega watu na kujitegua. uzuri kila mtu ana nguvu chanya ya asili inayomlinda dhidi ya nguvu hasi za dunia,na nguvu ya mtu ikiwa chini,hata kama hajakusudiwa yeye kunaswa na mitego iliyotegwa barabarani.ataona kona paliponyooka,atakanyaga accelerator badala ya brake(tayari ajali).polisi wakija wanaona ni uzembe sababu wao wanahukumu matokeo,na serikali haiamini uchawi!

Kaa na madereva watakusimulia..
Hao polisi wenyewe wamejaa Chale kwenye miili yao. maana wanalijua joto la kazi yao.
 
Mkuu unasema ajali hzitokani na Mungu wala shetani? Mkuu umewai soma biblia ?

Yona 1:4 Ndipo mwenyezi Mungu akatuma upepo mkali sana baharini mayo dhoruba Kali Sana ikavuma hata meli ikawa chini ya KUVUNJIKA....

MKuu hapo upo?
 
Inathibitisha vipi ni hicho unachokiita ni uchawi na sio sababu nyingine?
 
Mkuu unasema ajali hzitokani na Mungu wala shetani? Mkuu umewai soma biblia ?

Yona 1:4 Ndipo mwenyezi Mungu akatuma upepo mkali sana baharini mayo dhoruba Kali Sana ikavuma hata meli ikawa chini ya KUVUNJIKA....

MKuu hapo upo?
Ujinga🚮
 
Ujinga🚮
Acha kumtetea Mungu husiyemjua


Soma Ayubu 1:16 "Moto WA Mungu ulishuka kutoka mbinguni ukateketeza kondoo na watumishi.


Alafu hii Tabia yenu ya kumpenda Mungu kinafiki sio nzuri kuna siku itawaletea matatizo😸😸😸
 
Acha kumtetea Mungu husiyemjua


Soma Ayubu 1:16 "Moto WA Mungu ulishuka kutoka mbinguni ukateketeza kondoo na watumishi.


Alafu hii Tabia yenu ya kumpenda Mungu kinafiki kuna siku itawaletea matatizo😸😸😸
Umeandika nini hichi?
 
Fact
 
Ingekuwa umesafili usiku mara nyingi na ukiendesha mwenyewe naamini baadhi ya hoja usingefikiri ni hoja, Uzi ungekuwa mfupi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…