TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

1.Kuwepo kwa vyombo vya usafiri visivyo kidhi vigezo vya kuwepo barabarani (yani havifai kwa matumizi lakini vipo)

2. Kuwepo kwa madereva wasiokidhi vigezo vya kuwa madereva. Hupelekea kuvunja sheria hovyo.

3. Unywaji wa pombe na matumizi ya dawa za kulevya kisha kuendesha vyombo ya moto.

Hizo nadhani ni sababu kuu.
Mbona umesagau la miundombinu mibovu?barabara ni finyu sana
 
1.Kuwepo kwa vyombo vya usafiri visivyo kidhi vigezo vya kuwepo barabarani (yani havifai kwa matumizi lakini vipo)

2. Kuwepo kwa madereva wasiokidhi vigezo vya kuwa madereva. Hupelekea kuvunja sheria hovyo.

3. Unywaji wa pombe na matumizi ya dawa za kulevya kisha kuendesha vyombo ya moto.

Hizo nadhani ni sababu kuu.
Nadhani hii sio uzembe, bali ni hitilafu tu ambayo inaweza tokea muda wowote uwapo barabarani
 
Mkuu huwezi kuamini namba moja ndio kubwa kuliko. Magari yanatembea bila kufanyiwa service. Hata ukaguzi mdogo mdogo tu kama pre start watu hawafanyi (hii ni kutokana na kuwa hawana sifa za udereva).

Magari ambayo yapo mengi hapa Tanzania ni magari ambayo yalishaonekana hayafai tena kwa matumizi ya binadamu huko nchi za mwenzetu so huku ni kama dampo tu. Amini kwamba.
Magari kufanyiwa Pre start? Au unataka yawe yanapelekwa Misri kufanyiwa pre season?
 
Kwanini serikali ya CCM haitaki kutanua barabara maeneo hatarishi mkoani Mbeya?

Ajali isipotokea Inyala, inatokea Mlima Nyoka, isipotokea hapo inatokea mteremko wa Mbalizi, lakini serikali inachukulia poa tu miaka nenda rudi.

Hii inanikumbusha ajali zilizokuwa zinatokea kwenye daraja,ukitokea Kibamba chama Dar. kulekea mjini,yani ilikuwa haipiti wiki moja au mbili lazima kutokee ajali,mpk wachungaji na waumini wa makanisa ya maeneo yale walipoanzisha utatatibu wa kuomba pale kila j.mosi,na hatimaye pakaja kutulia kabisa,poleni sana wahanga wa ajali...
 
Hilo eneo la inyala ni baya mno...Lina mteremko mkali, madereva waendeshe taratibu
 
RIP

Pole kwa familia na wote mliokuwa mkimfahamu marehemu.

Kama ndio picha za ile gari nyeusi, niseme tu hiyo ajali ilikuwa mbaya sana.
Stl, Stk.....zimenyooshewa kidole sana kwa mwendokasi humu jf. Sema tu wanatuona kama wapiga kelele.

Poleni sana wana Igunga na familia.
 
Back
Top Bottom