Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Nimeangalia picha za bus linaonekana halijaumia sana. Yani usingetegemea vifo viwe vingi kiasi hicho kiasi kwamba nahisi kuna kitu kiko nyuma ya ajali hii ambacho sisi binadamu wa kawaida hatuwezi kukielewa.
Mmmmh[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Asante sana mkuu client kwa kulifanyia kazi ombi langu
walau sasa avatar yako iko njema.
asante sana kwa kunielewa, kwa pamoja tuijenge JF.



 
Mleta taarifa kasema mvua inanyesha!!!
Sasa maji ya mvua hayawezi kuosha hizo damu?

Ila wanaadamu tunapenda kusimulia na kushuhudia maajabu na miujiza.
 
I dont like this at all siku yangu imeharibika sana kwa hizi taarifa...RIP wapendwa
 
Dah!!!.....hii ajali mbaya sana pole kwa wafiwa.....R.I.P. all who died
 
Daaah.Poleni wazazi wa malaika hawa na shule kwa ujumla.Ajali haina kinga ila madereva kuweni mnapokuwa na abiria na hasa watoto wadogo.kama.hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…