Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
Daaah Mungu ampe nguvu jaman polen mnoo
 
Kama ni mtihani ya maisha mwenzetu kapata migumu zaidi. Pole sana mkuu
Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
 
Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
Yesu wangu jaman, Mungu amtie nguvu msiba upo Arusha sehem gan niweze kushiriki maana niko Arusha pia
 
Very Sad News...
Rais atangaze hata siku moja ya maombolezo...
Ni familia nyingi sana zilizokumbwa na huu msiba.
Bendera zipepee nusu mlingoti.

Ni majonzi majonzi.
 
Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
so sad poleni sana. watoto walibaki wa kumfariji , tena nao wameondoka.MUNGU ampe uvumilivu
 
Mungu awalaze mahali pema roho za marehemu[emoji24] [emoji24]
Asee hilo gari linaonekana kama hiyo ajali ya zaidi ya miaka 50 iliyopita
 
Mkuu unahuzunisha na kuchekesha.
Umeshaenda kwa doctor kujifunza mbinu mbalimbali za kupanga jinsia ya mtoto??
Usendelee kuchepuka tafadhari
 
Very Sad News...
Rais atangaze hata siku moja ya maombolezo...
Ni familia nyingi sana zilizokumbwa na huu msiba.
Bendera zipepee nusu mlingoti.

Ni majonzi majonzi.

Hapa kazi tu atangaze siku ya maombolezo halafu usiende kazini.
 
Kwa ajari Ilivyo ua watu wote hao kwa mpigo papo hapo
Gari lilipaswa kuwa tofauti na lilivyo
Hii nini !!?
 
Mimi mwenyewe mpaka niliwaskaa kwanza Mwananchi online kwaajili ya
confirmation , ndo nikarudi ku comment kuwa ni kweli maana kwa ile avatar
yake ya mwanzo ilikuwa kama ina miss lead habari husika. Ila right now kabadili
japo kwa muda .
kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…