Godfrey Ntibakula
Member
- Feb 10, 2017
- 18
- 8
Hakika mkuu. Mungu yu mwema.Pole ndugu,ajali hii inasikitisha jmn watoto wawili!Hapo ndo nakumbuka ule wimbo.Mungu roho mtakatifu akutie nguvu ya kuweza kumfariji kakako ngoja tujifariji ya kwamba Mungu kaliona hilo jaribu analiweza.Ni hakika atalivuka salama.Dah huzuni jamani.
kweli mkuu, mimi niliwahi kupata ajali ya basi, siti za nyuma zilitoka zote tukaja mbele. ni magari yaligongana uso kwa uso.Mkuu hayo ni madhara ya kutokufunga mikanda pia kama ajali ikitokea na ikacrush kwa impact kubwa hata siti za nyuma hungoka
Nakupinga .....Masomo ya sayansi hapa ndio umuhimu wake hujitokeza.
Impact ya gari ilisababisha movement ya objects zilizokuwa ndani ya gari (ambao ndio wapendwa watoto wetu) ambao nao walikuwa impacted kwenye gari kwa speed ya escaping velocity.
Tubuni kwa maana hamuijui siku wala saa.
Kweli mkuu, RIP watoto. Ila hili la kusema hakuna damu iliyokutwa sehemu ya ajali imekaa ki freemsn sana.Mkuu ndo maisha wote twapita
Kwa hiyo inawezekana hawakufunga mikanda, gari ilipojibamiza kwa mbele, backbenchers woote wakarushwa kwenda mbele!!
Ila ndo yameshatokea
Hayo ni mawazo ya kawaida kabisaHabari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport