Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Wanyarwanda wanataka kutuharibia taifa, hii ni tofauti sana na Rais wao kagame.. Mtu mpole, mwenye maamuzi makini, jasusi ninayemjua mwa-mwi, ila raia wake ni virusi mwa-mwi...
 
Mpumzike kwa Amani wanafunzi.. Watoto na wadogo zetu.
 
Kwa nini asifurahie wakati hayo ndio makafara ya ccm? Huu ndio muda wao kuuza sura, Bashite anatamani hao wanafunzi wangepata hiyo ajali Dar ili avimbishe bichwa lake kwenye runinga.
ila bashite jamani amepotea!! yaani hata sura yake naanza kuisahau sasa. aisee shikamoo Vyombo vya habari
 
Mkuu unafeli sana ku'report habari za watoto waliofariki kama hivi, ingekua upo jela watu kama nyie dawa yenu ni kuliwa tu. Kuwa na adabu.
Bora angekufa huyu wale watoto wabaki kuliko kubaki na watu wasikua utu.
 
Mungu Wa Huruma.... Mungu wa watu wote... Tupe Nguvu, tupe Ufaham na Kusimama Vema Katika vipindi Vugumu namna hii.. Wajalie waja wako Uimara wenye Faraja na Nguvu katika kukubali Matendo yako!! Tuepushe na Maumivu haya na Tunaomba Utuepushe Majanga katika Mataifa yako Haya.., Mungu Wafariji wafiwa wote na Mungu Uwabariki sana. AMINA....
 
Huyo aliyepona ajali anahitajiwa kwenda hospitali kuchekiwa. Kwanini amekaa hapo? Na anahitaji kupewa counselling kuanzia hata leo, ajali bado haijamuingia vizuri na itamsumbua kizaidi sana akiachwa hivyo hivyo bila msaada wowote.
 
Dah,yako mambo mengi sana yaliyofichika kwa mwanadamu ndomana huwa tunatoaga ushauri mwingi sana baada ya matukio,lkn jumla ya mambo yote hayo ni mapepo tu na wala co yote ni mipango ya Mungu
 
Inaonesha jinsi gani hunahuruma na hawa watoto ila siasa imekutawara
 
mwananchi raia wa kawaida...sio mwananchi gazerti.....RIP watoto wetu wote ni JANNAH bila ya shaka
 
Unataka kutuambia gazeti la Mwananchi ndo limetoa kichwa cha namna hiyo.. Au watafuta kiki..
 
RIP.

Huu ni ukweli usiopingika magari mengi ya shule hayapitii tanuri kali la ukaguzi wa usalama kwa ile dhana ya sijui tuite ni "kujali"? Au "huruma" kuwa hayo ni ya wanafunzi.

Asilimia kubwa ya mabasi ya shule ni yale ambayo yamechoka kazi za kuhudumia usafiri wa uma yamepakwa rangi za mabasi ya shule lakini hayahudumiwi ipasavyo. Ni bahati nzuri tu haya ya mjini hayendi safari za mbali.

Maelezo yaliyotolewa na mmoja wa manusura wa ajali kwamba basi hilo Coaster lilikata breki yanasadifu kabisa mwonekano wa basi hilo maana inaelekea baada ya kupaa lilienda kuangukia pua "nose diving" hivyo impact ya kugongana vichwa au kugonga kichwa ilikuwa kubwa kwa wahanga wa ajali na inawezekana ni kwa nini hakukuwa na damu nyingi iliyomwagika eneo la tukio

Hatua zichukuliwe sasa kudhibiti usalama wa mabasi ya wanafunzi.
 
Usitukane
Sis kwema. Umekuwa kimya kumbe ushabadilisha hata avatar yangu. Safari hii sikulalamikii lakini baada ya muda nitaanza kuipigania ile ya mwanzo. Nimesoma soma kidogo kumhusu huyu malkia. She was tough!

Watoto hawa masikini. Basi hilo utakuta pengine lilikuwa choka mbaya balaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…