Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Kuendelea na safari ni kukosa utu in my view. Mnafanyeje mitihani ambayo siyo ya kitaifa huku wenzenu wakiwa wamepata ajali

Ikiwa ni kweli aliyeruhusu anastahili achukuliwe shelia na atengwe katika jamii
 

Picha ya watoto waliofariki leo, ilipigwa wakati wanasubiria magari ili waondoke. Tunaweza kuitumia kama profile picha zetu kwa mda huu wa maombolezo.
RIP OUR SONS AND DAUGHTERS
 
Watoto 29 na watu wazima 3, hakika ni msiba wa taifa!
Serikali hata kusema tuomboleze hata siku moja kitaifa ili tuweze kutafakari usalama wa watoto wengine lakini wewe fungua Tv ngoma tu tutasemaje msiba wa Taifa. Ndio kila siku watu wanafariki lakini hii ni kama fundisho la kesho na ni innocent children 30 kwa wakati mmoja.
 
Mungu Awape Moyo Wa Uvumilivu Wafiwa Ktk Kipindi Hiki Kigumu.
 
AFU MBONA SIJAONA HATA MADAMU KUMWAGIKA JAMAN. [emoji15] [emoji15] [emoji15] Au nyi wenzang mmeona.??
 
Mungu awape pumziko la milele shambani mwake watoto wetu
 
Mpaka wangefiwa na ndugu zao wa karibu, ndio ungesikia hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…