Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)


Kama mtu ni mgeni pale ROTIA kwa kweli pana kona ndefu ... kuanguka ni rahisi ukichanganya na issue za mvua ... ni kona za surprise
 

Picha ya watoto waliofariki leo, ilipigwa wakati wanasubiria magari ili waondoke. Tunaweza kuitumia kama profile picha zetu kwa mda huu wa maombolezo.
RIP OUR SONS AND DAUGHTERS
Ukiangalia hii picha kwa makini.....utagundua jambo....wamekaa kiuzuni mno...Mungu baba walaze pema
 
Poleni wazazi na jamaa wote wa waliofariki katika ajali hii. Mungu awatie nguvu. Tumshukuru kwa walionusurika.
 
Dunia nzima imeripoti hii ajali. RIP to all victims
 
Kristo aliye rafiki mwema awape pumziko la amani watoto wetu wazuri!
 
Very sad indeed.Pole kwa wafiwa wote.Hii ni kazi ya Shetani through his agents,no question about it,na litakuwa ni kafara of some sort.The only way ya kuepuka ajali za namna hii ni kumkataa Shetani,vinginevyo ataendelea kututesa.We must be smart.Neno la Mungu linasema, ''Mkataeni Shetani,naye atawakimbia.''
 
Hii ni kazi ya Shetani through his agents,hakuna swali.The only way ya kuepuka ajali za namna hii ni kumkataa,vinginevyo ataendelea kututesa.We must be smart.Neno la Mungu linasema, ''Mkataeni Shetani,naye atawakimbia.''
Acha kumsingizia shetani wewe

Ni Mungu aliyeamua hao wafe kwa namna hiyo..
 
Sasa safari hiyo ukute hawana kibali. Shule itakuwa matatani. Vijipesa hivi walimu tuangalie coster ni watu 25.unaweka zaidi YA 30 shídaa
Kama kuna uzembe ni adhab kali,af hiz shule bas tuu,yan nalipa mil2 kwa mwaka primary af mniwekee mwanangu kwenye gar imejaa namna hii,akat hela ya transport nalipa,ni ajali ila kama kuna uzembe anyhow,lazma wawajibishwe,china kule tunanyonga uzembe kama huu...asee idad ni kubwa asee,sio kawaida,lazma sheria ionyeshe makucha hapa,hatutak us...nge kabsaa
 
Acha kumsingizia shetani wewe

Ni Mungu aliyeamua hao wafe kwa namna hiyo..
Hivi kwa nini unampigia Shetani kifua kiasi hicho,au ni agent wake?Mkuu Mungu hawezi kufanya upuuzi wa namna hii.God is so loving,infact God is love.It's only the Devil who can do this nonsense.Kumbuka kwamba Mungu ndiye aliyetuumba kwa hiyo hana sababu yeyote ya kutuvizia na kutuua so mercilessly.He can take your soul or my soul when you are asleep,it is his after all.On the other hand,Satan does not own our souls kwa hiyo lazima atuvizie.

Lastly,be very careful mkuu,kusema kwamba Mungu ndiye aliyeamua wafe namna hii while it is not true is an abomination.
 
Mkuu kifo hakikimbiwi

Hata uende wapi kama siku yako ya kufa imefika imefika tu

Kitendo cha kuwanyima fursa ya kwenda kutembelea sehemu mbalimbali kwa ajili ya mafunzo ni kuwanyima haki yao ya msingi .
Fikra za kimaskin sana hiz,et kifo hakikimbiw,..uzembw upo kokote kule,mfano,hutumii neti or kinga af upate gonjwa useme nin?mbona kuna nchi viwango vyao vya kuishi ni miaka zaid ya 80,..n y africa ni below 40 kiwastan,so utasema ni kudra hzo au ni mapenz ya Mungu?..tuelimike asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…