Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Natamani msiba ufanyike kwa pamoja na Raisi ahudhurie.
 
mkuu tena si kitu cha kawaida tu bali hadi kwenye syllabus inaonyesha kuna baadhi ya topic watoto wanajifunza nje ya darasa, mfano mambo ya history mwalimu anapaswa kuwapeleka watoto kwenye historical source hata moja! na walimu wamekuwa wakifanya hivyo mara kwa mara!! hayo mambo ya vibali yanatoka wapi sijui?
wanataka watafute sababu tu ya kuanza kuundama uongozi wa shule utafikiri kama wangepewa hicho kibali kingezuia ajali.
jamani hiyo shule saivi inahitaji faraja kipindi hiki ni kigumu sana kwao.
 
Ila kwa iyo kitu madereva wajifunze kitu na pia wawa kanye real mi had mwili unasisimka an
Watt wadg kama hao wanaenda na ndoto zao mkonon it's so sad kinyamaa
RIP wadg zangu na walim wang i wsh mngekuwepo tena siku ya leo.
 
My God,My God,jamani beautiful souls,as a mother nimelia kabisa.Jamani what a risk 58 kids in a minibus?no security belts.Oooooooh sad sad!Rest in peace beautiful angels.
Security belts=safety belts mkuu.
 
we mbaba ni mkoloni kwelikweli,wala watoto wako hawatanii kukueleza hilo.suala la ajali,unaweza usiende tour,na bado akabaki shuleni akaangukiwa na mti au shule ikaungua.kikubwa tu ni kuwaombea watoto wetu Mungu awalinde na sio kuwanyima haki zao za msingi
 
Eeeh Mwenyezi Mungu uwapokee watoto hawa.......na majeruhi nakuomba uwaponye haraka.

Correction kwenye heading, hiyo ROSA sio COASTER
 
NI HUZUNI KUBWA KWAKWELI...MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI WATOTO WETU.

 
Nimesikitika sana kwa msiba huu mzito kwa Taifa letu.

Nawaombea faraja za Mungu kupitia Roho Mtakatifu wazazi na ndugu za marehemu waliofariki.

Roho zao zilale pema peponi. Amen
 
Poleni wafiwa, roho za marehemu zilale mahala pema. Nasikia kuna mama kapata mstuko nae kafariki, watoto wake 3, wamefariki kwenye hiyo ajali, ni wiki moja tu imepita tangu afiwe na mme wake...inauma uchungu!!
 

DAAH AISEE KUMBE SHULE NZURI NAMNA HII, ALAFU NIMEONA KWENYE AZAM WALIKUA DARASA LA 7 THAT MEANS TUMEPOTEZA HAZINA KUBWA SANA, MUNGU AWAREHEMU KWAKWELI...WANASEMA KAZI YA MOLA HAINA MAKOSA...POLE NYINGI KWA WAZAZI NA WALIMU. DAAAH AM SPEACHLESS.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…