Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah..ni kweli. Kwanza hapo wala siyo maeneo ya shule.itakua ni hukohuko karatu mana maeneo ya pale hakuna udongo mwekunduhii picha ni baada ya tukio
mkuu tena si kitu cha kawaida tu bali hadi kwenye syllabus inaonyesha kuna baadhi ya topic watoto wanajifunza nje ya darasa, mfano mambo ya history mwalimu anapaswa kuwapeleka watoto kwenye historical source hata moja! na walimu wamekuwa wakifanya hivyo mara kwa mara!! hayo mambo ya vibali yanatoka wapi sijui?Hizi ziara kwa wanafunzi hasa wa shule private ni kitu cha kawaida, huwa tunawakuta Mbuga ya Serengeti, Zanzibar, kwenye viwanja vya ndege watoto wakijifunza. Sasa vibali vinahusikaje!!? Naona kwa mbali mkurupuko wa kufuta hizo ziara kumfurahisha mkuu.
Security belts=safety belts mkuu.My God,My God,jamani beautiful souls,as a mother nimelia kabisa.Jamani what a risk 58 kids in a minibus?no security belts.Oooooooh sad sad!Rest in peace beautiful angels.
we mbaba ni mkoloni kwelikweli,wala watoto wako hawatanii kukueleza hilo.suala la ajali,unaweza usiende tour,na bado akabaki shuleni akaangukiwa na mti au shule ikaungua.kikubwa tu ni kuwaombea watoto wetu Mungu awalinde na sio kuwanyima haki zao za msingidah ndio maana mimi watoto wakinambiaga maswala ya kwenda ziara nawakataliaga kwa sabab ya vitu kama hivi ila kwakuwa wao hawajui waniita mkoloni yan inafikia hatua wakiwa wananiulizia wanasema"mama,mzee mkuda yupo ndani au bado hajaludi"........dah maumiv ya kupoteza mtoto ni mazito jaman mi yashanikuta !
yan mimi watoto wakinambiaga haya mambo ya ziara nawauliza mchango ni tsh ngap wakishanambia nawapa hiyo pesa nawawambia waituumie kwa kununua kitu au waile ila sio kwenda huko trip kuna siku mtoto alijibu jibu flan sitasahau,alinijibu"baba wewe sio mzee ila mbona una mambo ya kikoloni hivo,ungekuwa unatukataza bila kutupa hizi pesa ambazo zingekuwa ghalama ya trip tungehisi m'bahili"
alafu ilipotokea ajal hapo Rotia ndio pananikumbusha tukio nalojitahidi kulisahau...miaka ming sana imepita,ilikuwa nimetoka pale karatu high school kumchek mtoto wa brother wangu nkapokea simu nikiwa eneo hilo toka kwa wife ambae alikuwa pale mlala hospital ya babati akiwa analia tuu mda huo mtoto alikuwa kalazwa so nkaunganisha dotS nkajua tayal mtoto sina..alikuwa wa kiume nililia sana japo machoz hayakuonekana,nilimpata nikiwa na umri wa 17yrs yan nlikuwa nkikaaa nae watuwalihis mdogo wangu
ushaur wangu kwa wazaz na ndgu waliopoteza watotot wasilie hadi kumkosea mungu maana yatawakuta yaliyonikuta,baada ya kifo cha yule mtoto nilikufulu sana mungu kwann kachukua kidume changu matokeo yake mpaka leo kila mimba ni dume na nishachepuka japo kutafuta wa kumpa jina la mama angu napo naambulia madume!!
WAPUMZIKE KWA AMAN HAO WATOTO.
R.I.P wakusoma wote na walimu wenu.
Ee Mola tunaomba uwape faraja familia za wa wahanga
katika hiki kipindi kigumu wapitiacho.
PSLE 2016 EXAMINATION RESULTS
LUCKY VICENT PRIMARY SCHOOL - PS0102080
WALIOSAJILIWA : 101
WALIOFANYA MTIHANI : 101
WASTANI WA SHULE : 214.6139
KUNDI LA SHULE : Watahiniwa 40 au zaidi
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KIWILAYA: 1 kati ya 68
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KIMKOA : 1 kati ya 331
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KITAIFA : 20 kati ya 8109
View attachment 505196