NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,952
- 1,181
OMG!Mkuu, inawezekana kabisa. Watoto hupenda sana kupakatana na kubanana kwenye usafiri. Nahisi hali hiyo kwao ni burudani, wagombane, wasukumane, wataniane, watukanane, watekenyenyane, n.k. Waweza wakajisunda kwenye hiace hadi usiamini.
Mungu awape wepesi wafiwa.
wewe mtoto itakuwa hata paka huna
dereva huyu jamaniInavyosemekana watoto washulee walikuwa wanakwenda ngorongoro katika msafar wa coaster iliyopata ajali ilikuwa yamwisho na dereva sio mzoefu wa njia hiyoo akawa anawahi ili kuwafkia wenzake walio mtangulia kufika eneo linaitwa rotya cna uhakika sanaa sababu nmesimuliwa kuna kona kona nyingi na korongo sasa jamaa akalaza kwenye konaa ikamshinda ndo ikatumbukia korongon