Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Kila nafsi itaonja umauti.

Maskini watoto hawa wameenda wakiwa wadogo mno..pole kwa wazazi ndugu na jamaa pamoja na majeruhi.Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu na awapumzishe watoto mahala salama.
 
Mungu wangu Mungu wangu Mungu wangu jamaniii maana ahaaaa a na mama mama
Eeeeehhhh Mungu.
 
Masikini binadamu hawa. Mungu azirehemu nafsi zao. Eeh Mungu tusaidie
 
Dah RIP na pole kwa wafiwa wote .

Habari mbaya sana, mpaka sasa hakuna chombo cha habari chochote kilicholipa jambo hili uzito .[HASHTAG]#OnlyInTanzania[/HASHTAG]
 
Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Ajali ni ajali,uwe mwenyewe au kundi. Kinachotakiwa ni kumwomba Mungu tu. Kila mtu ataondoka kwa njia yake,uwe kwenye gari au la.

Mwenyezi Mungu awape faraja wafiwa na majeruhi
 
Reactions: 7ve
hiki ni kilio na kusaga meno.. MUngu uendee kulinda watoto wako.

R.I.P engels
 
Wadogo sana maskini. Raha ya milele uwape eeh bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani.
Mungu awape nguvu wazazi wa hawa watoto.
 
Mungu saidia ninachokisikia iwe ni ndoto tuu.
Mungu asaidiee niamshwe kwenye hii ndoto..
 
Dah RIP na pole kwa wafiwa wote .

Habari mbaya sana, mpaka sasa hakuna chombo cha habari chochote kilicholipa jambo hili uzito .[HASHTAG]#OnlyInTanzania[/HASHTAG]
Tbc wanaonesha Bongo muvi! Polen sana wafiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…