Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini binadamu hawa. Mungu azirehemu nafsi zao. Eeh Mungu tusaidieNimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo, taarifa zinasema wamebaki watoto wawili tu wengine wamefariki, shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha ni medium schools,kwa wenye updates tunaomba mtupe
Picha: Soon ntaziapload ni ajali ya mda huu
Mungu awalaze mahali pema peponi
----------------------
UPDATE: Coaster ina jumla ya abiria 58 na wote wanasadikiwa wamefariki,maiti zimepelekwa hospitalini na watu wameondoka eneo la tukio,mvua inanyesha
UPDATE: Picha zinakuja soon ripota yuko eneo la tukio..
![]()
.........................
UPDATES:Magari ya polisi yametanda kila kona na maiti zimebebwa na magari ya polisi
Tayari kuhifadhiwa
...................
UPDATES:Ni watoto wanne(4) wanasadikiwa wako hai ila wako mahututi kabisa na kuna wasi wasi vifo vikaongezeka
UPDATES:Lucky vincent nursery school bus![]()
UPDATES:Shughuli za uokozi
![]()
Ajali ni ajali,uwe mwenyewe au kundi. Kinachotakiwa ni kumwomba Mungu tu. Kila mtu ataondoka kwa njia yake,uwe kwenye gari au la.Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Tbc wanaonesha Bongo muvi! Polen sana wafiwaDah RIP na pole kwa wafiwa wote .
Habari mbaya sana, mpaka sasa hakuna chombo cha habari chochote kilicholipa jambo hili uzito .[HASHTAG]#OnlyInTanzania[/HASHTAG]