Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto hawana dhambi na Mungu atawaweka mahali pema peponi na watapata raha ya mileleNimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo, taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki, shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha ni medium schools,kwa wenye updates tunaomba mtupe
Picha: Soon ntaziapload ni ajali ya mda huu
Mungu awalaze mahali pema peponi
----------------------
UPDATE: Coaster ina jumla ya abiria 30 na wote wanasadikiwa wamefariki,maiti zimepelekwa hospitalini na watu wameondoka eneo la tukio,mvua inanyesha
UPDATE: Picha zinakuja soon ripota yuko eneo la tukio..
![]()
.........................
UPDATES:Magari ya polisi yametanda kila kona na maiti zimebebwa na magari ya polisi
Tayari kuhifadhiwa
...................
UPDATES:Ni watoto wanne(3) wanasadikiwa wako hai ila wako mahututi kabisa na kuna wasi wasi vifo vikaongezeka
UPDATES:Lucky vincent nursery school bus![]()
UPDATES:Shughuli za uokozi
![]()
UPDATES:Gari lilikuwa na abiria 30 wanafunzi 25,waalimu (4) wote wa kiume na dereva 1
UPDATES:Kati ya majeruhi watoto watatu(3) wawili wako mahututi kabisa na mmoja amepasuka ubongo
UPDATE:Maajabu ya ajali hakuna damu zozote zilizotapakaa licha ya watu wengi sana kufa!
Next time ukiwa unaleta habari ya majonzi kma hii uwe unabadili hyo avatar yako kwanza maana imekaa kishambenga sanaAmen
Amen
Na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa Amani.Raha ya Milele uwape ee Beana!
Isikie kwa mwenzio miss chagga .mtoto wangu anasoma hapo na asubuh ameenda tuition lakin waliokufa ni marafiki zake nahis ataathirika sana sijui nitamsaidiajeMungu wangu napata uchungu wazazi wao jamani
Hiyo barabara imepita gari ngapi tangu asubuhi mbona hazijaanguka. Wacha kuminyana sababu kubwa ya ajali ni mwendokasi hizo zingine zina mchango mdogo sana kwa ajaliHapo sio mwendo kas n miundo mbinu ya barabara na mvua hizi ndio balaa kabisa..Mungu tuepushie zimwi hili la ajali