Agnes Benedicto
Member
- Dec 6, 2016
- 78
- 51
Ohooo my God!!!! Mungu na awapumzishe kwa amani na awatie nguvu wazazi na walezi wao!!!;
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihiHiyo barabara imepita gari ngapi tangu asubuhi mbona hazijaanguka. Wacha kuminyana sababu kubwa ya ajali ni mwendokasi hizo zingine zina mchango mdogo sana kwa ajali
Je kuna road signs ya ule mteremko kwa dereva mgeni?Kwa kweli serikali imetengeneza hii Barbara vizuri sana lawama ziende kwa watumiaji kwa zile ajali zitokanazo na uzembe. Kabla ajali zilikuwa zimezoeleka. Road ipo vizuri kwa kweli.
Mungu wapokee Watoto.
Mungu awarehemu na azipe familia subira katika wakati huu mgumu
Mkuu fafanua kidogo hiyo ishuMaajabu ya ajali hakuna damu zozote zilizotapakaa licha ya watu wengi sana kufa!
Poleni sana Mwalimu kuu na Shule yote Poleni kwa tukio hili la kusikitisha Mungu awalaze Marehemu wote Mahala pema ,jamii husika jipeni .moyo mkuu
Acha kuleta fikra shirikishi.Nimeangalia picha za bus linaonekana halijaumia sana. Yani usingetegemea vifo viwe vingi kiasi hicho kiasi kwamba nahisi kuna kitu kiko nyuma ya ajali hii ambacho sisi binadamu wa kawaida hatuwezi kukielewa.