Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Wapumzike kwa amani watoto wetu hao,na mola awape subira wazazi wenzetu-Amina
 
Inauma sana na inaumiza sana lakini ndio hivyo imekwisha tokea hakuna second chance kilichobaki nikuwaombea na kuwafariji wenzetu basi Mungu akawe faraja kwao, wao wametengulia naamini siku moja nasi tutaungana nao. Raha ya milele uwape eee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani "Amina"
 
Jamanii maiti zipo bado karatu? au zimeshawasili arusha
 
sad news. Ee Mungu awape matumaini wafiwa. Kifo hakizoeleki
 
Habari mbaya sana leo...May the Almighty rest their soul in eternal peace!
 
Niko njiani kuelekea Arusha. Nimefiwa na watoto wa kaka yangu wawili katika hiyo ajali. Mungu atupatie wepesi.
Pole ndugu,ajali hii inasikitisha jmn watoto wawili!Hapo ndo nakumbuka ule wimbo.Mungu roho mtakatifu akutie nguvu ya kuweza kumfariji kakako ngoja tujifariji ya kwamba Mungu kaliona hilo jaribu analiweza.Ni hakika atalivuka salama.Dah huzuni jamani.
 
Mungu azileze roho za marehemu mahali mema peponi Amina ,,,,,,wapumzike kwa amani
 
Dah so sad.. So sad kwa kweli..watoto wanauma jaman dah. MOla awarehemu kwa kweli
 
Back
Top Bottom