Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Wapumzike kwa amani watoto wetu hao,na mola awape subira wazazi wenzetu-Amina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wamepewa mitihani mizito duniani. Mola ampe subira huyu baba jamaniJamani mbona hili ni zaidi ya jaribu kwake mke kapoteza leo na watoto wawili... Mungu mtazame huyu baba mateso anayopitia ni mazito
I hate fake news!.......nimeshaitoa mkuu!Mkuu sidhani kama hii picha ya hiyo ajali ya Karatu
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
mtego wa panyaSawa namba yako basi Tafadhali yangu ni 0788223222
Pole ndugu,ajali hii inasikitisha jmn watoto wawili!Hapo ndo nakumbuka ule wimbo.Mungu roho mtakatifu akutie nguvu ya kuweza kumfariji kakako ngoja tujifariji ya kwamba Mungu kaliona hilo jaribu analiweza.Ni hakika atalivuka salama.Dah huzuni jamani.Niko njiani kuelekea Arusha. Nimefiwa na watoto wa kaka yangu wawili katika hiyo ajali. Mungu atupatie wepesi.
aminaMungu awape mapumzko mema huko walipo kiukweli kuhusu wazazi wapo katika wakati mgumu sana ni ajali mbaya sana sana.