Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ooh My God, inahuzunisha kiukweli.....MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA NA MWANGA WA MILELE AWAANGAZIE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmeniMmmh Aisee vijana wadogo kabisa masikini wamepoteza uhai kwa uzembe wa Dereva. Mungu awalaze mahala salama amiiin
Mimi ni mzazi wakiume pamoja na kutofiwa na mtoto lakini nimelia machozi kabisaAnaeweza kuelezea uchungu halisi wa hili tukio ni mtu aitwae mzazi... Wengine wanaeza tu kuwa wafuata upepo.. Nikiwa mzazi ambae pia nasomesha nimeumia kupita maelezo nipo namuangalia mwanangu hapa huku fikra zikinipeleka kwa wazazi waliopoteza watoto... Inauma sana, poleni wazazi wenzangu.. Watoto wamepumzika tutaonana nao tena mbinguni... Amina..!!
Huyo mtoto aliyepona ni nabii wa Mola! I'm praying to the Almighty One wampatie therapy ya kutosha! Mwenye Enzi Mungu akubariki milele yote!
Nimetoka kwenye ban! I reserve my words! Mwenye Enzi Mungu ata deal na wewe kwa njia yake Mwenyewe!Na waliofariki je? Wao si "nabii wa mola"? Wao huwaombei? Kwani mola (sic) akikupenda, unaishi muda mrefu au unafariki mapema ili uwahi peponi? Wewe lazima utakuwa mganga wa kienyeji. Voodoo stuff.
R.I.P
Hilo jina la (25) Paulo Thomas naona limekwatwa kwahiyo kweny hiyo list aliwekwa kwa bahat mbaya?
Ni mbaya sana mtu hai kumchanganya na marehemu
Mkuu mtu kama Huyu anatia kinyaa usipoteze muda wako kumjibu. Atakuchafua na huo upumbavu wake.Upumbavu mkubwa kuongelea hayo kwenye msiba wa watu 31,ni upumbavu mkubwa...