Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

ooh My God, inahuzunisha kiukweli.....MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA NA MWANGA WA MILELE AWAANGAZIE
 
Mungu awape faraja wazazi na walezi nivigum kukubali mungu awape faraja hauna neno lingine inauma sana
 
Anaeweza kuelezea uchungu halisi wa hili tukio ni mtu aitwae mzazi... Wengine wanaeza tu kuwa wafuata upepo.. Nikiwa mzazi ambae pia nasomesha nimeumia kupita maelezo nipo namuangalia mwanangu hapa huku fikra zikinipeleka kwa wazazi waliopoteza watoto... Inauma sana, poleni wazazi wenzangu.. Watoto wamepumzika tutaonana nao tena mbinguni... Amina..!!
Mimi ni mzazi wakiume pamoja na kutofiwa na mtoto lakini nimelia machozi kabisa
 
Ndg zangu.

Taarifa zilizonifikia hivi punde nikiwa hapa Arusha, wanafunzi waliofariki wamefunga 33. Ikumbukwe, waliofariki papo hapo ni 32, wawili walinusurika na kuwahishwa hospital. Mmoja kati ya hao, ametutoka.RIP.

Na Yale mabasi mengine 2, wanafunzi waliendelea na safari mpk mjin Karatu kuendelea na mtihani wao, hawakuambiwa na mpk sasa hao wenzao hawajui kilichotokea. Magari hayo 2, yalikuwa mbele ya hilo lililopata ajari.

RIP
 
Huyo mtoto aliyepona ni nabii wa Mola! I'm praying to the Almighty One wampatie therapy ya kutosha! Mwenye Enzi Mungu akubariki milele yote!

Na waliofariki je? Wao si "nabii wa mola"? Wao huwaombei? Kwani mola (sic) akikupenda, unaishi muda mrefu au unafariki mapema ili uwahi peponi? Wewe lazima utakuwa mganga wa kienyeji. Voodoo stuff.
 
Na waliofariki je? Wao si "nabii wa mola"? Wao huwaombei? Kwani mola (sic) akikupenda, unaishi muda mrefu au unafariki mapema ili uwahi peponi? Wewe lazima utakuwa mganga wa kienyeji. Voodoo stuff.
Nimetoka kwenye ban! I reserve my words! Mwenye Enzi Mungu ata deal na wewe kwa njia yake Mwenyewe!
 
Daah,watoto wadogo kabsa hawa,daaah,.sijui ilikuaje,au utelezi wa barabara na mvua au dereva alikua spidi,..dah ni ajali lakin lazima kuna sababu tuu,..kwahiyo ushaur wngu ni kwamba kwa situation yoyote lazma tuwe makin sana barabaran ,kwa namna yoyote.sasa watto wazur kama hawa daah,imeniuma had nataman nipige mtu makof for no reason
 
Poleni sana wana Arusha wenzangu, msiba mzito sana jamani, Mungu awalaze mahali pema peponi wote waliopoteza uhai na awape ahueni majeruhi wote.

Pole kwa familia za wafiwa, najua wanapitia wakati mgumu sana, mzazi kumzika mwanao tena mdogo ni kitu kinachoumiza sana.

Rest In Eternal Peace.
[emoji24] [emoji24] [emoji174] [emoji174]
 
R.I.P
Hilo jina la (25) Paulo Thomas naona limekwatwa kwahiyo kweny hiyo list aliwekwa kwa bahat mbaya?
Ni mbaya sana mtu hai kumchanganya na marehemu

Atakuwa ni mmoja wa Majeruhi na wao walidhani amefariki.
 
Hudhuni, wanadamu ni udongo hakika.
Sisi tuliohai tukumbuke kuwa sisi si mali yetu bali ni mali ya Mungu.
Nawatakia amani & faraja wafiwa.
 
RIP ndugu zetu, watoto wetu! Waliokuwa kwenye ajali!
 
Back
Top Bottom