Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

R.I.P. watoto wetu. Pole kwa wazazi na wote walioguswa na janga hili. Mtoa mada gari/basi lililohusika katika ajali siyo aina ya Coaster, ila ni Rosa.
 
POLENI SANA WAFIWA. WATANZANIA TUBADILIKE TUNAPENDA SAFARI SAFARI AMBAZO MARA NYINGI ZINAKUWA HAZINA MPANGO WOWOTE NI BORA KARATASI ZA MITIHANI ZINGESAFIRISHWA KUPELEKWA SHULENI KWAO KAMA KWELI LENGO LILIKUWA KUFANYA MTIHANI WA KUJIPIMA NA SHULE NYINGINE.
POLENI SANA WAFIWA ...
 
~~~>>>R.I.P Taifa la kesho...

Hili gari ilikuwa ni mali ya Raqeeb, ilikuwa inafanya safari za Usangi-Moshi.... Kabla ya kuuzwa lilikuwa na tatizo la kung'ang'ania Clutch.

Akamuuzia jamaa mmoja Arusha kisha na yeye akawauzia shule ya Lucky Vicent...

Wakati likiwa linafanya safari za Usangi- Moshi lilishawahi kung'ang'ania Clutch akamvaa dereva wa Boda boda...


Inawezekana hili tatizo liliendelea...

Nashauri serikali wawe wanakagua magari ya shule vizuri...
 
MOD, ondoa hii picha inatutoa machozi, kwa sura zao tu hawa watoto hawakuwa tayari kwenda hii safari
Unaona ehh! Roho zao zilijua kabisa! Maana watoto wanatakiwa kuwa na furaha kwa ajili ya safari, sad indeed!
 
Wabongo bwana...
Kwahiyo hapo ulipo unalia kweli??
Ungeweza kutype wewe!!
Hivi wewe yanakuhusu nini haswa? Hebu jiangalie kwenye kioo ujiulize hilo swali! Jiangalie tena kwenye kioo ujiulize hivi wewe una shida gani?
 
Acha unafiki wewe...
Pasingetokea ajali ungesema hawakuwa tayari????
Kwa kuwa ajali imetokea ndio una bwatuka hivo!!!
Acha mihemko wewe
Padri mcharo nenda kafe mbele mwehu wewe! Naona mikonyagi imejaa kichwani! Hayawani mkubwa!
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] dah dah
 
Yani wewe tukio la kusikitisha na kuhuzunisha la kupoteza watoto wetu hawa unasimama kumuunga mkono mpuuzi anayeingiza siasa za kijinga?

Kichwa chako kimeoza!
Huyo jamaa uwa anasema yeye ni mwalimu wa chuo kikuu! Kama ni kweli, nawaonea huruma wanafunzi wake.
 
Kufiwa na mtoto, mke, mume, Baba na Mama ni misiba mikubwa sana. Pole sana Mkuu.

dah ndio maana mimi watoto wakinambiaga maswala ya kwenda ziara nawakataliaga kwa sabab ya vitu kama hivi ila kwakuwa wao hawajui waniita mkoloni yan inafikia hatua wakiwa wananiulizia wanasema"mama,mzee mkuda yupo ndani au bado hajaludi"........dah maumiv ya kupoteza mtoto ni mazito jaman mi yashanikuta !

yan mimi watoto wakinambiaga haya mambo ya ziara nawauliza mchango ni tsh ngap wakishanambia nawapa hiyo pesa nawawambia waituumie kwa kununua kitu au waile ila sio kwenda huko trip kuna siku mtoto alijibu jibu flan sitasahau,alinijibu"baba wewe sio mzee ila mbona una mambo ya kikoloni hivo,ungekuwa unatukataza bila kutupa hizi pesa ambazo zingekuwa ghalama ya trip tungehisi m'bahili"


alafu ilipotokea ajal hapo Rotia ndio pananikumbusha tukio nalojitahidi kulisahau...miaka ming sana imepita,ilikuwa nimetoka pale karatu high school kumchek mtoto wa brother wangu nkapokea simu nikiwa eneo hilo toka kwa wife ambae alikuwa pale mlala hospital ya babati akiwa analia tuu mda huo mtoto alikuwa kalazwa so nkaunganisha dotS nkajua tayal mtoto sina..alikuwa wa kiume nililia sana japo machoz hayakuonekana,nilimpata nikiwa na umri wa 17yrs yan nlikuwa nkikaaa nae watuwalihis mdogo wangu

ushaur wangu kwa wazaz na ndgu waliopoteza watotot wasilie hadi kumkosea mungu maana yatawakuta yaliyonikuta,baada ya kifo cha yule mtoto nilikufulu sana mungu kwann kachukua kidume changu matokeo yake mpaka leo kila mimba ni dume na nishachepuka japo kutafuta wa kumpa jina la mama angu napo naambulia madume!!

WAPUMZIKE KWA AMAN HAO WATOTO.
 
Hivi jamani huyu dada sijui afisa elimu Arusha badala ya kuomboleza msiba yeye analinda kazi yake ohh hatukuwa na taarifa ya trip wala hatukutoa kibali! Shame woman hivi unataka kusema ungetoa kibali ajali isingetokea au mna vigezo gani vya kutoa vibali au ni formalities tu. Wewe dada kama umezaa basi kajiangalie kwenye kioo, kuna wazazi wamepoteza vitoto huko.
 
Back
Top Bottom