Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnhh!! Engkish ya mwendokasiThey may rest in peace
Private transport ndio haiui?Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Unaona ehh! Roho zao zilijua kabisa! Maana watoto wanatakiwa kuwa na furaha kwa ajili ya safari, sad indeed!MOD, ondoa hii picha inatutoa machozi, kwa sura zao tu hawa watoto hawakuwa tayari kwenda hii safari
Hivi wewe yanakuhusu nini haswa? Hebu jiangalie kwenye kioo ujiulize hilo swali! Jiangalie tena kwenye kioo ujiulize hivi wewe una shida gani?Wabongo bwana...
Kwahiyo hapo ulipo unalia kweli??
Ungeweza kutype wewe!!
Padri mcharo nenda kafe mbele mwehu wewe! Naona mikonyagi imejaa kichwani! Hayawani mkubwa!Acha unafiki wewe...
Pasingetokea ajali ungesema hawakuwa tayari????
Kwa kuwa ajali imetokea ndio una bwatuka hivo!!!
Acha mihemko wewe
Huyo jamaa uwa anasema yeye ni mwalimu wa chuo kikuu! Kama ni kweli, nawaonea huruma wanafunzi wake.Yani wewe tukio la kusikitisha na kuhuzunisha la kupoteza watoto wetu hawa unasimama kumuunga mkono mpuuzi anayeingiza siasa za kijinga?
Kichwa chako kimeoza!
dah ndio maana mimi watoto wakinambiaga maswala ya kwenda ziara nawakataliaga kwa sabab ya vitu kama hivi ila kwakuwa wao hawajui waniita mkoloni yan inafikia hatua wakiwa wananiulizia wanasema"mama,mzee mkuda yupo ndani au bado hajaludi"........dah maumiv ya kupoteza mtoto ni mazito jaman mi yashanikuta !
yan mimi watoto wakinambiaga haya mambo ya ziara nawauliza mchango ni tsh ngap wakishanambia nawapa hiyo pesa nawawambia waituumie kwa kununua kitu au waile ila sio kwenda huko trip kuna siku mtoto alijibu jibu flan sitasahau,alinijibu"baba wewe sio mzee ila mbona una mambo ya kikoloni hivo,ungekuwa unatukataza bila kutupa hizi pesa ambazo zingekuwa ghalama ya trip tungehisi m'bahili"
alafu ilipotokea ajal hapo Rotia ndio pananikumbusha tukio nalojitahidi kulisahau...miaka ming sana imepita,ilikuwa nimetoka pale karatu high school kumchek mtoto wa brother wangu nkapokea simu nikiwa eneo hilo toka kwa wife ambae alikuwa pale mlala hospital ya babati akiwa analia tuu mda huo mtoto alikuwa kalazwa so nkaunganisha dotS nkajua tayal mtoto sina..alikuwa wa kiume nililia sana japo machoz hayakuonekana,nilimpata nikiwa na umri wa 17yrs yan nlikuwa nkikaaa nae watuwalihis mdogo wangu
ushaur wangu kwa wazaz na ndgu waliopoteza watotot wasilie hadi kumkosea mungu maana yatawakuta yaliyonikuta,baada ya kifo cha yule mtoto nilikufulu sana mungu kwann kachukua kidume changu matokeo yake mpaka leo kila mimba ni dume na nishachepuka japo kutafuta wa kumpa jina la mama angu napo naambulia madume!!
WAPUMZIKE KWA AMAN HAO WATOTO.