Ajali ya Mwendokasi yaua eneo la Urafiki

SGR inawekewa fence mwanzo mwisho.
 
natoa pole kwa ndugu na jamaa, kisha nataka nikazie hapo kwenye hiyo "My Take" yako, sisi wakazi wa hapa dar kuna muda huwa tunazingua sana kufata taratibu, zebra inaweza ikawepo kwenye watu 10, wakapita watu 4 tu huju watu 6bwakajigawa nusu kulia mwa zebra nusu kushoto mwa zebra, hao madereva nao wengi hawaheshimu hiyo zebra.
 
Uzio wa nini? Watu wanapita kwenye flyover hapa Ubungo wakitokea University Rd waamie upande wa pili na kuna uzio. Tunahitaji elimu na kustaarabika tu.
NAKAZIA
Uzio wa nini? Watu wanapita kwenye flyover hapa Ubungo wakitokea University Rd waamie upande wa pili na kuna uzio. Tunahitaji elimu na kustaarabika tu.
 
Elimu ya ustaarqbu na kujijali vinahitajika.

Watu wa dar hatuogopi magari, tunavuka bila tahadhari ndio maana tunagongwa na magari kila siku.

Idadi kubwa ya magari hayana services za uhakika, watu wanaweka oil kwa kuungaunga, sembuse services kubwa watafanya?

Tusipokuwa wastaarabu tutaendelea kufa.
 
Pole kwa wafiwa, suluhisho haliwezi kuwa ni kujenga ukuta, hii itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Elimu inapaswa kuendelea kutolewa kuhusu matumizi ya vitu mbalimbali kama barabara na religion.
 
Pole kwa wakiwa, suluhisho haliwezi kuwa ni kujenga ukuta, hii itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Elimu inapaswa kuendelea kutolewa kuhusu matumizi ya vitu mbalimbali kama barabara na religion.
Jaribu kupita maeneo yenye shule za kayumba. Hivi vitoto vinavuka kwenye zebra tu. Na madereva wengi si wastaarabu wanapita tu lakini hivi vitoto vinasubiri tu hadi gari itakayoamua kusimama ndio wanavuka.
Sasa hawA watu wazima wanaoamua kwa akili zao kuvuka kama mbuzi wacha wapambane na hali yao. Na mwendokasi kila mara linagonga watu wazima,bodaboda na magari unafikiri halipiti maeneo ya shule?
 
Ni huzuni Kwa kweli! Familia wanajua umeenda kutafuta maskini ya Mungu umelala na hauamki tena, Bwana Yesu nipe kushuhudia wajukuu wangu na vitunguu vyangu kama bibi yangu anavyoshuhudia,
Apumzike Kwa amani!
 
Ukiwa kama nani? Au nawewe ni bodaboda? Sasa endelea kutofuata Sheria na alama za barabarani ukutane na Mimi uone kama nitakucha salama
Kilio Kiko mlangoni kwako na huzuni inapiga hodi maumivu makali yatakufunika kabla hujatubu na kuacha kibri ulichopewa na roho ya mauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…