Naomba kuuliza kwani passport size una attach wapi?Doh sisi wengine tumejaza ila tumesahau ku attach passport size kwa hy ndo nishakuwa disqualified ama.... au nini naweza fanya maan post ukishaomba haionekani tena
Doh sisi wengine tumejaza ila tumesahau ku attach passport size kwa hy ndo nishakuwa disqualified ama.... au nini naweza fanya maan post ukishaomba haionekani tena
howUnaweza kuedit
Kwenye my application nadhani Mimi niliattach cheti kimoja nimerekebisha nimeweka pdf yenye vyeti vyote.
Samahani, kwenye vyeti vyako umeattach na transcript? Najaribu kufikiri kama un acheti kuna haja ya kuattach transcript?Kwenye my application nadhani Mimi niliattach cheti kimoja nimerekebisha nimeweka pdf yenye vyeti vyote.
Ndio kwenye zile must imetajwaSamahani, kwenye vyeti vyako umeattach na transcript? Najaribu kufikiri kama un acheti kuna haja ya kuattach transcript?
You can editDoh sisi wengine tumejaza ila tumesahau ku attach passport size kwa hy ndo nishakuwa disqualified ama.... au nini naweza fanya maan post ukishaomba haionekani tena
AsanteNdio kwenye zile must imetajwa
Nenda kwenye my application wameweka option ya kuedit attachmentSorry unaweza ku edit wapi mbona sioni hyo option
Sorry unaweza ku edit wapi mbona sioni hyo option
passport unaweza unga doc ya cv na passport hlf unaweka pale kweny curriculum vitaeNaomba kuuliza kwani passport size una attach wapi?
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Changamoto hii nimeisisikia kwa watu wasiopungua watatu, ngoja wajuzi wa mambo waje wasaidie.wakuu changamoto yang ni kwamba nimeomba post mbili moja imekubali ku attach kila kitu ila hii ya pili kila niki attach zinatoka inabaki sehemu ya cover latter sasa cjajua kwa kuwa account ni moja watatumia zile zile ama vp....,.msaada mwenye kujua tatizo nini