Ajira mpya za TRA
kwa walio maliza kuomba je unaweza omba post mbili tofauti kwa kutumia account moja
 
Kwenye my application nadhani Mimi niliattach cheti kimoja nimerekebisha nimeweka pdf yenye vyeti vyote.
Samahani, kwenye vyeti vyako umeattach na transcript? Najaribu kufikiri kama un acheti kuna haja ya kuattach transcript?
 
Doh sisi wengine tumejaza ila tumesahau ku attach passport size kwa hy ndo nishakuwa disqualified ama.... au nini naweza fanya maan post ukishaomba haionekani tena
You can edit
 
Sorry unaweza ku edit wapi mbona sioni hyo option

Kwa mliokosea application ingieni kwenye account zenu kwenye my application wameruhusu ku edit [emoji3578] tembeleeni account zenu ili muweze ku update changes [emoji120][emoji120]. Share na mwingine upatapo taarifa hii [emoji120][emoji120]

View attachment 2649073
 
wakuu changamoto yang ni kwamba nimeomba post mbili moja imekubali ku attach kila kitu ila hii ya pili kila niki attach zinatoka inabaki sehemu ya cover latter sasa cjajua kwa kuwa account ni moja watatumia zile zile ama vp....,.msaada mwenye kujua tatizo nini
 
Changamoto hii nimeisisikia kwa watu wasiopungua watatu, ngoja wajuzi wa mambo waje wasaidie.
 
Back
Top Bottom