Naomba kuuliza kwani passport size una attach wapi?Doh sisi wengine tumejaza ila tumesahau ku attach passport size kwa hy ndo nishakuwa disqualified ama.... au nini naweza fanya maan post ukishaomba haionekani tena
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app