Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
unabahat nimefunga dadadekiNi mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unabahat nimefunga dadadekiNi mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Umefunga kula au?unabahat nimefunga dadadeki
Hivi hata ungekua we mke wa mwendazake yote haya yanafanyika SASA hivi kweli ungehudhuria mialiko? Lazima udai unaumwa maana aibu unaona wewe. Kanyaga twende sijamtaja mtu.
nimefunga kuDEMKA jombiiUmefunga kula au?
Sasahivi yupo Kwenye tanuru la Moto anatamani kurud duniani kuja kutengeneza maisha aliyoishiMagu bora kaenda
Ni vizuri umewaambia. Hawa kwa sehemu kubwa hufadhiliwa na mabeberu. Kwa maana hiyo mara nyingi hutumika kama mawakala wa mabeberu! Tunawaomba iweni wazalendo. Tusisikie mnaanza kutuletea habari ya LGBT+.Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Mi naserereka nayo tu.Ahh tweeter ina operate mzee
Ova
Hatutaki! Nashauri serikali ianze utaratibu wa kuwapima mara kwa mara kama marinda yako salama!Mapenzi ya jinsia moja sasa ruksa rasmi? Serikali imekurupuka.
🤣 🤣 🤣 🤣 na ndio sababu MAMA kasema mijadala yao haina AFYA kwa taifa, waachane nayo.Na utasikia Mbunge mmoja amevimbiwa maharage ya mbeya anajitutumua na kusema "Hayati Magufuli jemedari tufuate legacy yake, mpenda haki, Mcha mungu " Juha mwingine wa pembeni yake anagonga meza Kwaa!kwaaa!
Madame Presidential anakifahamu kilicho sahihi,wajiandae wale CCM maslahi maana akiwabinya sawa sawa hakika Tanzania itageuka Paradise.After all that's what we want.Mungu ambariki na amlinde Mheshimiwa Rais wetu Mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan na kila aina ya ubaya.
Mama aachwe afanye kazi na neema itamfikia kila mmoja wetu.
Usikariri,uchafu gani huo?Je,ni ATCL,sgr,JNHED project au kipi hicho mabeberu wenu wanataka ambacho hamtaki kuwapa?Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Kwa hiyo Shujaa alifunga akaunti ili kuwapangia matumizi?Tutashuhudia mafuriko ya post twitter na kwingineko.
Hizo fedha fanyieni mambo ya maana msizitumbue kwa anasa tu.
Alikuwa na maono ya kimasikini mkuu, kwamba kila mtu aishi kimasikini. Wakati wenzetu mataifa yaliyoendelea wanahangaika kutengeneza matajiri (mamilionea) ili wafungue miradi na viwanda kuajiri raia wenzao, sisi tulikazana kuwafilisi matajiri ili waishi kama masikini. Poor way of thinking. Hata ile kauli ya wanyonge, ilikuwa ni kuwapumbaza wa TZ waione upigaji kwenye ndege na miradi mingineAlikuwa anapata faida gani kuzuia hizo account ambazo fedha zingine zinatoka nje kwa wahisani? Au kuongeza umasikini ili tuitane wanyonge
For sureMadame Presidential anakifahamu kilicho sahihi,wajiandae wale CCM maslahi maana akiwabinya sawa sawa hakika Tanzania itageuka Paradise.After all that's what we want.