The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
ChiefGodlove,ChristopherPaul15,Unacosta ngapi mbona unapaniki?
Vipi ikipiga mzingahakuna uwekezaji mwepesi. Dangote bilionea na anawashauri wa biashara lakini kwenye cement akakutana na za uso.
hii ni biashara ambayo ina high risk, but ukiweza kumanage inafaida nzuri. gari nyingi zinarudisha mtaju mwaka na nusu. then baada ya hapo uza. utakachouza ndo faida yako.
kuweka utt 70M na kuweka gari road. after 1year na nusu kwenye gari ukiuza umekosa sana 40 inategemea na utunzwaji wa gari. nambie utt kama inafika hyo.
Unacosta ngapi mkuu mbona hasira 🤣🤣🤣🤣🤣ChiefGodlove,ChristopherPaul15,
Football,bora uje na hizo ID zako tu ili uendeleze matusi kuwatukana watu na kujifanya wewe ni tajiri,
Kwa akili hizo,wewe huwezi kufanya hata biashara ya Genge kuuza Nazi.
mipango ya Mungu. ambayo kwenye biashara huwa hatuwazi haya.Vipi ikipiga mzinga
umenena vema.Hapo inatengenezwa daily cash flow ambayo inakupa leverage ya kukopa kwenye mabenki au inayoweza saidia kucover expenses za project nyingine kama kilimo ambacho hakiingizi pesa kila siku.
Wewe unaakili kabisaKweli hiyo million 100 niliingia nayo chimbo Ngara kununua mahindi au maharage miezi mitatu inakuwa ishazaa million 100 nyingine
Sawa mkuu unaonaje hiyo milion 100 nikaibetia nikampa man u wanifanyie kazi yangu Mimi nikiwa nimekaa sebuleni kwenye kochi Ili ikiliwa iwe mipango ya mungumipango ya Mungu. ambayo kwenye biashara huwa hatuwazi haya.
Kweli aiseeAcha waendelee na mipango yao usimuhurumie mtu kwenye utafutaji , moja Siri ni kuficha code za sehemu unayopata faida na kutoa code za sehemu mbovu
kubeti sio biashara ni bahati nasibu. ila mwenye kampuni ya kubeti ndio mfanya biashara.Sawa mkuu unaonaje hiyo milion 100 nikaibetia nikampa man u wanifanyie kazi yangu Mimi nikiwa nimekaa sebuleni kwenye kochi Ili ikiliwa iwe mipango ya mungu
Ndio maana mfuate uone kama atafunguka atakueleza mengine zaidi magumu aliyopitia sasa wewe ingia kichwakichwaJamaa wa Chipsi kuku pale namangaa mtaji wake ka milioni 5 ila kwa mwezi anapiga ka milioni kumiii
Tusipangiane biasharaa
Kama unanunua gari ili uuze sio bora ukafanya biashara ya kununua na kuuza magari?hakuna uwekezaji mwepesi. Dangote bilionea na anawashauri wa biashara lakini kwenye cement akakutana na za uso.
hii ni biashara ambayo ina high risk, but ukiweza kumanage inafaida nzuri. gari nyingi zinarudisha mtaju mwaka na nusu. then baada ya hapo uza. utakachouza ndo faida yako.
kuweka utt 70M na kuweka gari road. after 1year na nusu kwenye gari ukiuza umekosa sana 40 inategemea na utunzwaji wa gari. nambie utt kama inafika hyo.
We unajua unakufa lini au hiyo Costa unauhakika itakupa faida je unayajaua ya kesho ?kubeti sio biashara ni bahati nasibu. ila mwenye kampuni ya kubeti ndio mfanya biashara.
Bado TRA na LATRA+SERVICENa hizo ni hesabu za karatasi ingia ground
Asante kwa kumshtukia. Hana lolote huyo.Wewe utakuwa una fanya utafiti unataka uvute chuma