Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Nina enda sana church
Okay,ila isiwe kanisani tu ambako hakuna maombi .
Inatakiwa uende ukaonane na mchungaji/mtumishi umweleze unachopitia Ili akusaidie, msicheze na roho za mauti, yaani Huwa inatafuta mlango wa kuhakikisha inatimiza ilichoamriwa!
Kwa kuanza,omba Toba...zaburi 51 yote, Tubu dhambi zako ,halafu kataa na kemea roho ya mauti....isaya 7:7,zab 33:10...malizia na zaburi 35 yote.
Do it kabla hujalala
Kesho njoo na mrejesho hapa
 
Basi atakua kaachwa huyu ☺️
 
Hayo yote Pasipo Imani ni bure kabisa
 
Get a Bible, read it,

Call on Jesus. Anakusikia.

Ukimruhusu Yesu aingie moyoni mwako, Amani,Upendo, furaha vitaingia ndani,

HOFU, hasira, kukata tamaa, chuki, na Kila aina ya dhambi vitatokomea kusikojulikana.

Amen
Nakazia
 
Huwa nawaoneaga huruma sana πŸ˜‚
 
Huwa nawaoneaga huruma sana πŸ˜‚
Sijui shida huwa inakuwa ni nini?
Lakini tutakuwa tunawapa ushauri tu kwa sababu tumepitia huko tena kwenye magumu ya kutisha na bado tunapitia huko lakini tumeshakomaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona mimi nimekisoma...lakini bado nataka kufa tu
Uhai ni zawadi na kama unajua kuna Mungu muumba wa vitu vyote ukiwemo wewe. Utaacha kuwaza huu ujinga. Sasa unataka kufa unapajua unakoenda ? Acha ujinga yawezekana unakoenda kuna shida kuliko hapa duniani
 
Uhai ni zawadi na kama unajua kuna Mungu muumba wa vitu vyote ukiwemo wewe. Utaacha kuwaza huu ujinga. Sasa unataka kufa unapajua unakoenda ? Acha ujinga yawezekana unakoenda kuna shida kuliko hapa duniani
🀣🀣 nacheka japo si pa kucheka..
 

mwamba anazingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…