Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Njia rahisi ya kuondokana na unachopitia.
1. Practice gratitude, kila ukiamka kabla ya kufikiri chochote anza kushukuru kwa chochote kile..kiwe kikubwa au kidogo. Jitahidi uzame ndani ushukuru kwa kila kitu, fanya hivyo mara kwa mara. Hii inakusaidia kuhesabu/kutambua mema muumba anayokupa licha ya kuwa hukustahili.

2. Saidia., tembelee wagonjwa mahospitalini ikiwezekana lipa bili za wagonjwa walioshindwa. Tembelea vituo vya watoto yatima na makundi mengine ya wasiojiweza toa misaada
 
HEBU ONA
Img_2023_05_05_16_22_41.jpeg
 
Relax before ukurupuke nenda Kwa pusha yoyote hapo mtaani tafuta yule konki waepuke wauza kushabu,mwambie akupe kitu og,au hata hybrid yoyote Kali akukunjie kabisa na muombe awe mwaminifu asikuchanganyie au nyonga mwenyewe Lipuaaa utakuja nishukuru,Naongea hivi nikiwa na uhakika hujawahi smoke hii kitu au uliacha coz ilikuzingua skumoja ila niamini mm hakuna mvuta bulu anayewaza mbali kama ulipofika wewe,so what the hell smoke some bud.watasema zinaharibu Akili na mapafu right,oh well ulikuwa unataka kujiua right so kipi Bora choose wisely.
 
Kuna mwamba alileta hizi habari humu hazikupita siku mbili akaenda kweli
 
KAMA NI MKRISTO KATUBU AU UBATIZWE UPAYA LAKINI KAMA MUISLAM USIFE HIVI HIVI HAKIKISHA UNAVAA BOMU KAJITOE MUHANGA KWA MASHOGA ITAKUWA GIHADI HIYO
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forums member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Endelea kumueleza Mama yako mambo yako, tofauti ni kuwa, hutasikia sauti yake, ila hisia zake kuhusu unayomwambia utazijua. Iwe faraja kujua kuwa daima hukutakia mema, na yenye kheri!
 
Hata Mimi im going through this ,
Mimi i feel the pain napoona I can't feed my momy from January to December


Najihisi kukata tamaa though Nina Afya njema all in all life is meaningless nadhani wanaume ni watu wa Huruma Sana that way tunaumia
 
Instead of thinking how to die learn how to enjoy life and live up to the fullest. Stay blessed always 🙏
 
Pole sana mkuu wangu.
Ni hali tu utokea kwa binadamu wote.
Niliwai kupita kwenye wakati kama huo zaidi ya mara 5,
Mungu alinivusha salama.
Hivyo nina uzoefu wa kupitia wakati mgumu kama huo.
Naomba niambie ulipo ama tuwasiliane kwa no 0657579300
Ili tusaidiea kwa kupeana ushauri na kufarijiana.
Naamini Mungu atakufanyia wepesi mkuu wangu

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom