Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimsweka rumande mdada namjua🤣Hujakutana na OYA wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona!
Endelea kumueleza Mama yako mambo yako, tofauti ni kuwa, hutasikia sauti yake, ila hisia zake kuhusu unayomwambia utazijua. Iwe faraja kujua kuwa daima hukutakia mema, na yenye kheri!Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea
After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile
Jamii forums member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta
" bye bye"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walimsweka rumande mdada namjua[emoji1787]