Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Sawa siasa zilianza kwenye klabu ya yanga ila wenye mpira wao (FIFA) hawataki siasa kwenye mpiraUu uhuru tulionao Moja ya taasisi iliyofanya kazi kubwa ya ku unganisha Watanganyika ni Yanga. Kipindi Cha nyuma migogoro ndani ya Yanga iliwahi kusuluhishwa na JK Nyerere...
Mwenyekiti wa Yanga ni PhD holder
Makamu ni MBA
Katibu ni CPA
Labda tafuta timu ingine Kwenye elimu wanaifikia Yanga.
Elimu siyo vyeti. Ni uelewa. Kwani Morrison alitushindaje peke yake?Mwenyekiti wa Yanga ni PhD holder
Makamu ni MBA
Katibu ni CPA
Labda tafuta timu ingine Kwenye elimu wanaifikia Yanga.
Sasa kama FIFA hawataki siasa michezoni mbona Urusi timu zote zimefungiwa Sababu ya Rais Putin?Sawa siasa zilianza kwenye klabu ya yanga ila wenye mpira wao (FIFA) hawataki siasa kwenye mpira
Yanga ni CCMHuu uhuru tulionao Moja ya taasisi iliyofanya kazi kubwa ya ku unganisha Watanganyika ni Yanga. Kipindi Cha nyuma migogoro ndani ya Yanga iliwahi kusuluhishwa na JK Nyerere...
๐๐ ๐๐Kule CAS Oops Umetonesha Mshono Bado MbichiElimu siyo vyeti. Ni uelewa. Kwani Morrison alitushindaje peke yake?
Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele.
Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea mazingira mazuri ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya au kuja gombea Ubunge siku za usoni.
Sisi tunajua anachofanya. Kujaribu kuifanya yanga iwe ya kisiasa. Yanga haihitaji siasa ili ifanikiwe, tuachane na huu ujinga tutumieni akili zetu. GSM wanajua hili litawasaidia kwenye biashara zao. Lakini yanga ina mashabiki wa vyama mbalimbali tuacheni siasa kwenye mpira.
View attachment 2157295
Uto wanaweka mazingira sawa ili siku wazee wakiandamana kwenda ikulu kupeleka malalamiko mama awapokee bila shida.Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele.