Akili za Viongozi wangu wa Yanga ni za Kiutopolo sana. Yaani mnashangaza, ina maana wote shule hamna?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele.

Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea mazingira mazuri ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya au kuja gombea Ubunge siku za usoni.

Sisi tunajua anachofanya. Kujaribu kuifanya yanga iwe ya kisiasa. Yanga haihitaji siasa ili ifanikiwe, tuachane na huu ujinga tutumieni akili zetu. GSM wanajua hili litawasaidia kwenye biashara zao. Lakini yanga ina mashabiki wa vyama mbalimbali tuacheni siasa kwenye mpira.

Screenshot_20220319-223302~2.png
 
'Lakini Yanga ina mashabiki wa vyama mbalimbali tuacheni siasa kwenye mpira'

Waliyempongeza ni Rais wa nchi, na pongezi zinahusu kutimiza mwaka mmoja madarakani kama RAIS wa Nchi na pongezi hizi hazihusu uongozi wa Samia chamani
 
Huu uhuru tulionao Moja ya taasisi iliyofanya kazi kubwa ya ku unganisha Watanganyika ni Yanga. Kipindi Cha nyuma migogoro ndani ya Yanga iliwahi kusuluhishwa na JK Nyerere.

Yanga ni Moja ya taasisi iliyochangia kupata uhuru wa Tanganyika. Siasa zilianzia kwenye klabu ya Yanga. Wanachama wengi wa TAA baadae TANU ndio wenye kadi Sinior za Yanga.

Mama kupongezwa na Yanga Haina shida, Yanga ndio Tanzania yenyewe.
 
Mwenyekiti wa Yanga ni PhD holder
Makamu ni MBA
Katibu ni CPA
Labda tafuta timu ingine Kwenye elimu wanaifikia Yanga.
 
Uu uhuru tulionao Moja ya taasisi iliyofanya kazi kubwa ya ku unganisha Watanganyika ni Yanga. Kipindi Cha nyuma migogoro ndani ya Yanga iliwahi kusuluhishwa na JK Nyerere...
Sawa siasa zilianza kwenye klabu ya yanga ila wenye mpira wao (FIFA) hawataki siasa kwenye mpira
 
Huu uhuru tulionao Moja ya taasisi iliyofanya kazi kubwa ya ku unganisha Watanganyika ni Yanga. Kipindi Cha nyuma migogoro ndani ya Yanga iliwahi kusuluhishwa na JK Nyerere...
Yanga ni CCM
 
Achana nao... majibu yataonekana baada ya muda fulani hivi.. viongozi waliopo wana ndoto ya uteuzi kisiasa badala ya kuipigania yanga
 
Tushughulikie ubingwa tu
Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele.

Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea mazingira mazuri ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya au kuja gombea Ubunge siku za usoni.

Sisi tunajua anachofanya. Kujaribu kuifanya yanga iwe ya kisiasa. Yanga haihitaji siasa ili ifanikiwe, tuachane na huu ujinga tutumieni akili zetu. GSM wanajua hili litawasaidia kwenye biashara zao. Lakini yanga ina mashabiki wa vyama mbalimbali tuacheni siasa kwenye mpira.

View attachment 2157295
 
Uto wanaweka mazingira sawa ili siku wazee wakiandamana kwenda ikulu kupeleka malalamiko mama awapokee bila shida.
 
Back
Top Bottom