Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele.
Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea mazingira mazuri ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya au kuja gombea Ubunge siku za usoni.
Sisi tunajua anachofanya. Kujaribu kuifanya yanga iwe ya kisiasa. Yanga haihitaji siasa ili ifanikiwe, tuachane na huu ujinga tutumieni akili zetu. GSM wanajua hili litawasaidia kwenye biashara zao. Lakini yanga ina mashabiki wa vyama mbalimbali tuacheni siasa kwenye mpira.