M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Fictional story japo umeiweka kama somo ambapo mtu yoyote yanaweza kumkuta.Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake Akaolewa Na huyu kaka wa hapa mtaani, kaka ana pesa Kiasi.
Jana Mke Kaumwa Sana ikapekea akalazwa Hospital , akiwa hospital Akampa Taarifa Mzazi Mwenzake (yule waliyeachana) Kisha Mzazi mwenzake Akaenda Na Watoto Hospital Kumjulia Hali pale hospital.
Mume Wake Alijiskia Vibaya Sana kuona Yule Mwanaume anamtembelea mke wake, Mke Akamwambia Mume Wake Naomba Utupishe Kidogo Nina Maongezi Na Mzazi Mwenzangu, kaka Alitoka Nje na Hakurudi Tena Pale Hospital, Hadi Leo na inasemekana kaka Kaenda Dar es Salaam na Hana mpango WA kurudi Tena mana hapa mtaani haonekani tena.
My Take
Chambueni
Mpaka kuoa single mother ndo uvumilivu wnyw huo tayr
Niliwahi kujichanganya kwa single mother fulani, aisee nilinyooka 🙌Dah! 😁
Tatizo halisi ni hofu ya kugongewa. We uliza tu, hapo kinachoogopwa ni nini? Wanaume huru ni wale wasio na hofu juu ya mwanamke ila wanawake zao ndo wenye hofu juu yao.Mpaka kuoa single mother ndo uvumilivu wnyw huo tayr
Niliwahi kujichanganya kwa single mother fulani, aisee nilinyooka 🙌
Kuoa mwanamke ambaye sio bikra n uvumilivu tosha, ukiongeza na n single mother ndo balaa kabisa, huo uvumilivu n God made.Tatizo halisi ni hofu ya kugongewa. We uliza tu, hapo kinachoogopwa ni nini? Wanaume huru ni wale wasio na hofu juu ya mwanamke ila wanawake zao ndo wenye hofu juu yao.
Single mothers wote wana tabia za aina moja, ww ukisikia kesi fulani ya mmoja bc ujue n wote wapo hvyIkaweje mkuu? Au ulikimbia malezi ya mtoto?
Single mothers wote wana tabia za aina moja, ww ukisikia kesi fulani ya mmoja bc ujue n wote wapo hvy
Hii kitu Huwez kuitenganisha, na h ndo chanzo cha wengi kuwakataa single mothers mana mtoto anakuwa amewaunganisha hvy Huwez kuitenganisha Hii labla mtoto awe amekufa.Alikuwa na mahusiano bado na mzazi mwenzie?
Kuna ubaya gani mume akiwepo? Yeye akiona kuwa mazungumzo yanayoendelea hayamhusu ajisikie kuondoka sio kuambiwa 'Tunaomba utupishe'Faragha ni ya mambo mabaya tu? Embu niambie jambo gani baya wazazi walioachana wakikaa na watoto wao pamoja kwenye chumba cha hospitali bila uwepo wa mume?
Mkuu, Binafsi nimeshuhudia baadhi ya mahusiano mpaka ndoa, and trust me, mwanaume mwenye amani ni anayebahatisha mwanamke mwenye msimamo bila kujali msimamo wake umesababishwa na nini.Kuoa mwanamke ambaye sio bikra n uvumilivu tosha, ukiongeza na n single mother ndo balaa kabisa, huo uvumilivu n God made.
Kitendo cha kuombwa atoke it means ni mtu ambaye mkewe yupo in control. Mke hana hofu ya kumpoteza. Na tatizo lipo hapo, si kwenye usingle mother wa huyo mkewe.Kuna ubaya gani mume akiwepo? Yeye akiona kuwa mazungumzo yanayoendelea hayamhusu ajisikie kuondoka sio kuambiwa 'Tunaomba utupishe'
Livae hilo koti la hiyo stori uwe ni wewe hapo, ungelimpisha mkeo aongee na dear x wake?Kama ni scenario ya kweli hakupaswa hata kuombwa, ilitakiwa awapishe kabla ya kuombwa, awape faragha ya mazungumzo sababu na watoto walikuwepo.
Kama nina wasiwasi na X wake basi sikutakiwa kusubiri mpaka aumwe ndo nifanye maamuzi.Livae hilo koti la hiyo stori uwe ni wewe hapo, ungelimpisha mkeo aongee na dear x wake?
Au kwa sababu issue ni ya mwingine ndiyo unsirahisisha na kuifanya ndogo sana kama pilton?
Unanipa raha sana eti wanadai kutunga stori za alinacha na zanzibar hawataki mazoea sasa hivi hadi hospitali zao haziwataki wageniMambo yao hayawahusu
Nendeni mkapambane na wazbr
hadi bi msumi atoke majukwaani tutashuhudia mengiUnanipa raha sana eti wanadai kutunga stori za alinacha na zanzibar hawataki mazoea sasa hivi hadi hospitali zao haziwataki wageni
Scenario imeletwa kipande kidogo sana cha maisha ya hiyo ndoa!Kama nina wasiwasi na X wake basi sikutakiwa kusubiri mpaka aumwe ndo nifanye maamuzi.
Fact tu kwamba natakiwa kumlinda ili asirudi kwa X wake hilo ni tatizo kubwa zaidi ya kumpa nafasi akiwa hospitali na watoto wao.