Akina dada, kwanini mnakubali kutoa namba kisha mkipigiwa simu hampokei?

Akununulie simu na laini hapo sawa
 
Hahaah 🤣, namba mtapata ila mtapiga sana, tamaa tu😏
 
A girl/woman is a product of her society. 99.9 ya namba tunazoombwa na strangers ni kwaajili ya mtongozo, unnecessarily ! Kabla hatujalaumu wanawake, hebu “sisi” wanaume tujikague.

Kitu ambacho una overlook ni kwanini wanawake “wanatoa namba na hawapokei simu” Umeshasikia mara ngapi msichana anakuwa bullied only kwasababu amekataa kusimama barabarani kumpa ME namba/attention or whatever alicho aim? Kitu hujui ni kuwa wanawake tumejitengenezea “surviving mechanism” katika huu ulimwengu wa kiume. Kadogo2 huko juu amesema kuna mazingira haiwezekani kuacha kutoa namba, as a woman nimemuunga mkono and other women can relate.

Looks like nimepata another Natafuta Ajira wakuargue nae kila thread ya wanaume vs wanawake! 😀
 
Namba unatoa ya nn sasa?

Kwa mm labda usinipe nafasi kabisa ya kunisikiliza ukinipa namba lazima tu kiumane, mdada anaebisha a test aone p.m ataleta mrejesho na kuanza kunitag kila bandiko kama smart!
 
Si utoe ata namba ya uongo? Kwann umpe real digits ukijua hutapokea? Nakuelewaga sana leo umekata left turn mkuu, usitoe namba simple as that! Unless unapenda thrill kuwa chased after mana ke kutoku tongozwa nayo shida unajiona kinyamkela.
 
She’s not interested, and its her passive aggressive way of not having to say no. Do yourself a favor and just delete her number.
 
Kwani Kuna ubaya gani ukitongozwa?
 
what nimejifunza kwenye aya mambo hasa ya kuomba namba ni usitongoze na wala usiwe na papara na mtu maana hata mood yake kwa mda huo huijui;

kama umepewa namba tengeneza namna ya kuwasiliana na mtu kawaida, ukituma sms moja asubuhi isipojibiwa relax, jioni tena moja isipojibiwa relax inawezekana mtu katingwa uko na pia ndiyo kwanza mmeanza kuwasiliana hamjuani ko usitegemee makubwa sanaaa.
 
Aisee una akili sana, kunywa juisi nakuja kulipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…