GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu.
Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na Kauli yake aliyonukuliwa akisema kuwa Simba SC isiposhinda Jumapili atavua Nguo zake zote.
Salim Abdallah Mhene ( Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC ), Barbara Gonzalez ( CEO Simba SC ) na Poti wangu kabisa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) Kwetu Crecentius Magori ( Chief Advisor Simba SC ) kiukweli kwa Kumteua huyu 'Kirusi' Mwinjaku mmetukosea mno Wana Simba SC wote na tunawaomba Kwanza mtuombe Radhi na mumbadilishe upesi ndani ya Siku 3 hadi 7 zijazo kabla GENTAMYCINE 'Mizimu' yangu ya Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi haijanipanda na nikachafua Hali ya Hewa Klabuni na Mgogoro mkubwa kutokea na Simba SC yetu ifanye vibaya.
Kwangu Mimi wafuatao tena kwa Ushawishi wao mkubwa na Makubwa tena ya Kihistoria waliyoyafanya ndani ya Simba SC wangekuwa ndiyo Wahamasishaji wetu ningewapongeza na kuwaona mna Akili ambazo bahati mbaya kwa sasa hamna....
1. Dua Said
2. Boniface Pawassa
3. Ulimboka Mwakingwe
4. Jamhuri Kihwelo Julio
5. Mtangazaji Ibrahim Masoud Maestro
6. Mussa Hassan Mgosi
7. Mzee Mtemi Ramadhan
Upesi sana tuondoleeni mliyomteua jana vinginevyo tunaojua vyema Siri za ndani za Simba SC ( GENTAMYCINE ) nikijiamini kabisa nikiwa ni Mmoja wao nitawaanika na Kuwaacheni Uchi ( Watupu ) kabisa.
Acheni na Komeni kabisa 'Kutuhanithi' Wana Simba SC wote. Binafsi na hata Watu wa CMG mpaka Wasanii akina wa Maigizo akina Cheni, JB na Ray tunamjua tokea huko nyuma kuwa Mwinjaku ni Yanga SC lia lia halafu leo mnamkaribisha tena Sebuleni kabisa Klabuni Kwetu.
Nimeshawaonyeni mapema msilaumu.